Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Jumanne, 10 Aprili 2018

HISTORIA IMEANDIKWA: CHANJO YA MLANGO WA KIZAZI YAZINDULIWA RASMI.


Makamu wa Rais, Mhe Samia Suluhu Hassan leo amezindua chanjo ya kukinga saratani ya mlango wa kizazi  kwa  wasichana kuanzia miaka 14. Chanjo hiyo itatolewa bila malipo kwa mwaka huu itatolewa kwa wasichana 616,734 hivyo wasichana wanatakiwa  kupata dozi hiyo pindi wanapotimiza umri wa miaka 14 na dozi ya pili itatolewa miezi 6 baada ya kupata dozi ya kwanza.
"Chanjo hii ni salama na imethibitishwa na Shirika la Afya Duniani. Hivyo Wazazi ma Walezi wenzangu tuwapeleke binti zetu kupata chanjo hii ili kuwakinga na Saratani ya Mlango wa Kizazi kwa kuwa ndio inayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanawake wengi”, alisema  Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu.


0 on: "HISTORIA IMEANDIKWA: CHANJO YA MLANGO WA KIZAZI YAZINDULIWA RASMI."