Like us on Facebook

Powered by Blogger.

Search This Blog

Blog Archive

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Monday, January 21, 2019

WADU WA SEKTA YA AFYA WATEMBELEA UJENZI WA OFISI ZA WIZARA YA AFYA IHUMWA DODOMA.

 

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu Afya) Dkt Zainab Chaula leo amewaongoza wadau wa Wizara ya Afya kupitia mfuko wa pamoja (Basket Fund) kutembelea Mji wa Serikali Ihumwa ambapo ujenzi wa Ofisi za Serikali unaendelea.

Aidha wadau hao wameonyesha nia kuisaidia Wizara ya afya katika upande wa miundombinu ya Tehama kwa kufunga vifaa vya "video conference" ikatayosaidia mawasiliano mubashara katika vikao mbalimbali.

0 on: "WADU WA SEKTA YA AFYA WATEMBELEA UJENZI WA OFISI ZA WIZARA YA AFYA IHUMWA DODOMA."

Note: Only a member of this blog may post a comment.