Mtoto kuzaliwa kabla ya wakati wake (Njiti), ni pale ambapo mtoto huzaliwa kabla ya mimba kukamilisha wiki 37 za ujauzito.
Kumbuka uonapo moja kati ya dalili za mtoto njiti kama zilivyotajwa katika kipeperushi hapo juu mpeleke mjamzito au mtoto kwenye kituo cha huduma za Afya kwa uchunguzi na matibabu.
OKOA MAISHA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni