| Picha mbalimbali zikimuonesha Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu-Tanzania leo akikutana na kufanya mazungumzo na waziri wa Afya wa Falme ya Morocco, Prof. Anass Doukkali ambapo wamezungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kwenye sekta ya Afya baina ya nchi hizo. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni