Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na
Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wa pili kulia akikata utepe kuashiria kuweka jiwe la
msingi kwenye jengo la wodi ya wazazi lilitokana na mpango wa malipo kwa
ufanisi katika Zahanati ya Itebulanda wilayani Urambo Mkoani Tabora wakati wa
ziara yake mkoani humo,wa kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Urambo Bi. Magreth
Sitta.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni