Na Englibert Kayombo WAF, Dar Es Salaam. Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu leo amekutana na kufanya mazungumzo na Wawekezaji kutoka India pamoja na Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates) kujadili na kuwakaribisha kwenye fursa...
Jumatano, 17 Agosti 2022
Alhamisi, 4 Agosti 2022

ENDELEENI KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI-DKT. SICHALWE
Alhamisi, Agosti 04, 2022
-
Maoni 2
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe alipotembelea Hospitali Misheni ya Haydom iliyoko Mkoani Manyara kujionea hali ya utoaji wa huduma za afya ili kuleta ufanisi mzuri katika kutoa huduma.Na. WAF – ManyaraMganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe...
SERIKALI KUJA NA MIKATABA YA KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO.
Alhamisi, Agosti 04, 2022
-
Maoni 3
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe akiongea katika kikao cha Wadau wa Sekta ya Afya kwenye eneo la mama na mtoto pamoja na Lishe kilichofanyika Mkoani Singida.Na.Rayson Mwaisemba,WAF- SINGIDA Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe alisema,...
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)