Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Ijumaa, 30 Aprili 2021

MITAMBO YA KUFUA HEWA TIBA(OKSIJENI) KUSIMIKWA HOSPITALI ZA RUFAA ZA MIKOA

Na. Catherine Sungura, WAMJW-DodomaSerikali  imeweza kujibu changamoto za kuwahudumia wananchi  kwa kuimarisha  huduma za afya ya dharura  kwa kusimika  mitambo ya kufua  hewa tiba (Oksijeni) na hivyo kupunguza gharama za uendeshaji wa hospitali za rufaa za mikoa...

WIZARA YA AFYA YAANZA KUTEKELEZA KWA KASI MAELEKEZO YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA SEKTA YA AFYA NCHINI.

Prof. Abek Makubi Katibu Mkuu Wizara ya AfyaNa. WAMJW - Dodoma. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeanza kutekeleza kwa kasi maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...

Alhamisi, 29 Aprili 2021

TAARIFA YA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA HATUA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA MBALIMBALI NCHINI

- Hakuna maoni

  bintiz("summary4260428418477046771","TAARIFA YA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA HATUA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA MBALIMBALI NCHINI","https://afyablog.moh.go.tz/2021/04/taarifa-ya-kuongeza-kasi-ya-utekelezaji.html","");...

Jumamosi, 17 Aprili 2021

WARATIBU WA MAABARA WAAGIZWA KUSIMAMIA UBORA WA HUDUMA KATIKA MAENEO YAO.

 Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za Maabara Dkt. Mathius Katura akifafanua jambo baada ya kufungua kikao cha Waratibu wa Maabara binafsi wa mikoa, kilichofanyika Mkoani Morogoro.  Msajili wa Maabara binafsi nchini Bw. Dominic Fwiling'afu akieleza jambo baada ya...

Page 1 of 102123»