Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Jumatano, 11 Januari 2023

SERIKALI ITAENDELEA KUTOA KIPAUMBELE KWA WAZALISHAJI WA DAWA NA VIFAA TIBA WA HAPA NCHINI

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akisema jambo kwenye kikao kilichowakutanisha Wazalishaji na Wasambazaji bidhaa za afya (hawapo pichani) pamoja na Bohari ya Dawa (MSD), Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) pamoja Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) leo katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam.

Wazalishaji na Wasambazaji Dawa na Vifaatiba nchini wakisema jambo kwenye kikao kilichowakutanisha pamoja na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, Bohari ya Dawa (MSD), Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) pamoja Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) leo katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam.



Rais wa Chama cha Wafamasia Bw. Fadhil Hezekia akisema jambo kwenye kikao kilichowakutanisha Wazalishaji na Wasambazaji bidhaa za afya (hawapo pichani) Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Bohari ya Dawa (MSD), Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) pamoja Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) leo katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam.

Mganga Mkuu wa Serikali Prof Tumaini Nagu akisiliza jambo kwenye kikao kilichowakutanisha Wazalishaji na Wasambazaji bidhaa za afya (hawapo pichani) pamoja na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu na watendaji kutoka Bohari ya Dawa (MSD), Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) pamoja Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) leo katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu Bohari ya Dawa Bw. Mavere Tukai akisema jambo kwenye kikao kilichowakutanisha Wazalishaji na Wasambazaji bidhaa za afya (hawapo pichani) pamoja na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu na watendaji kutoka Bohari ya Dawa (MSD), Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) pamoja Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) leo katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba Bw. Adam Fimbo akisema jambo kwenye kikao kilichowakutanisha Wazalishaji na Wasambazaji bidhaa za afya (hawapo pichani) pamoja na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu na watendaji kutoka Bohari ya Dawa (MSD), Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) pamoja Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) leo katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam.


Na Englibert Kayombo WAF - Dar Es Salaam.

Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema itaendelea kutoa kipaumbele na kuwalinda wazalishaji wa dawa na vifaa tiba waliopo hapa nchini ili kuongeza uzalishaji pamoja  na ukuaji wa uchumi.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo alipokutana na Wazalishaji na Wasambazaji wa Dawa na Vifaa tiba katika kikao cha pamoja Watendaji wa Serikali wakiwemo Bohari ya Dawa (MSD), Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) pamoja na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) katika ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam.

"Ni lazima tuangalie suala la kulinda viwanda vya ndani vya dawa na vifaatiba, hawa wamewekeza hata kama wanazalisha kidogo tunatakiwa kuwalinda kwa kutoa kipaumbele kwao kwenye ununuzi wa dawa na vifaatiba vya ndani ya nchi” amesema Waziri Ummy.

Waziri Ummy amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ina thamini mchango wa Sekta binafsi kwenye kuwekeza katika maendeleo ya nchi hivyo uwepo wa Viwanda vinavyozalisha Dawa na Vifaatiba hapa nchini vina tija katika kuchochea ukuaji wa uchumi lakini pia uhakika wa upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa uhakika hapa hapa nchini.

Waziri Ummy amebainisha kuwa mpaka Mwezi Desemba 2022 kulikuwa na Viwanda 42 vya uzalishaji bidhaa za afya kati ya hivyo 18 vinazalisha Dawa (Viwanda 12 vya Dawa za Binadamu, 6 vya Dawa za Mifugo) huku Viwanda 24 vikijusisha na uzalishaji wa Vifaatiba.

Hata hivyo Waziri Ummy amevitaka Viwanda hivyo kuwa na mpango endelevu wa ukuzaji shughuli zao na kuendelea kuzalisha bidhaa za afya.

“Ni lazima mjipange, tusije tukaweka vikwazo kwa viwanda vya nje kuleta bidhaa hapa nchini ili hali hatuna uwezo wa kuzalisha za kumudu soko la hapa nchini hilo suala TMDA nawaachia mliangalie mtuletee majibu” amesisitiza Waziri Ummy Mwalimu.

Katika kikao hicho wazalishaji hao wa bidhaa za afya waliomba pia Serikali iangalie upya kodi ilizoziweka katika malighali zinazoingizwa nchini ili dawa na vifaatiba wanavyozalisha ziweze kutengenezwa kwa gharama ndogo na kumudu ushindani katika soko.

Waziri Ummy amesema kuwa amepokea maoni na ushauri kutoka kwa wazalishaji hao na kuahidi kuwa Wizara itajiridhisha na kwenda kufanya kikao na Hazina ili kuangalia upya gharama wanazotozwa wazalishaji hao kwenye kuingiza malighafi pamoja na vipuli vya mashine zinazotumika kutengeneza dawa na vifaatiba.

Awali akizungumza kwa niaba ya upande wa Wazalishaji na Wasambazaji bidhaa za afya, Bw. Fadhil Hezekia ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wafamasia ameiomba Serikali iweke mkazo zaidi katika kuongeza wanataaluma wa fani ya wafamasia dawa za viwandani ili kuwa na wazalishaji wengi wazawa wa hapa nchini.

Aidha Bw. Hezekea ameiomba Serikali ishirikiane zaidi na Sekta binfsi katika kutafuka masoko ya nje ya nchi ya Dawa na Vifaatiba ili kuongeza zaidi uzalishaji katika viwanda pamoja na ukuaji wa uchumi.

10 on: " SERIKALI ITAENDELEA KUTOA KIPAUMBELE KWA WAZALISHAJI WA DAWA NA VIFAA TIBA WA HAPA NCHINI"
  1. Prioritizing local manufacturers of drugs and medical devices is a commendable step towards ensuring self-sufficiency and healthcare resilience, reducing dependency on imports, and potentially fostering innovation and job growth within the country. This commitment strengthens healthcare infrastructure and contributes to national well-being.||New Jersey Careless Driving Statute||Monmouth County Reckless Driving Attorney




    JibuFuta
  2. AfyaBlog is a health and wellness platform that focuses on providing informative content on topics such as fitness, nutrition, mental health, and healthy living. It offers expert tips, guides, and insights to help readers maintain a balanced and healthy lifestyle. The blog emphasizes holistic well-being and encourages proactive approaches to health care. AfyaBlog aims to educate and inspire individuals to make positive changes for their overall health.
    harrisonburg reckless driving lawyer
    manassas reckless driving lawyer

    JibuFuta
  3. Supporting local drug manufacturers is essential for promoting community health, job creation, and economic growth. Local manufacturers bring high-quality, reliable products to the market and often adhere to strict safety and prostitution charges Supporting local drug manufacturers is essential for promoting community health, job creation, and economic growth. Local manufacturers bring high-quality, reliable products to the market and often adhere to strict safety and compliance standards. By choosing locally manufactured pharmaceuticals, we not only benefit from quicker access to essential medications but also help foster innovation and self-sufficiency within our region.






    compliance standards. By choosing locally manufactured pharmaceuticals, we not only benefit from quicker access to essential medications but also help foster innovation and self-sufficiency within our region.

    JibuFuta
  4. nice blog
    for legal services harrisonburg reckless driving Virginia's reckless driving laws cover various infractions, including speeding, aggressive driving, racing, and losing control. The most common cause is speeding, with Harrisonburg courts considering potential consequences.

    JibuFuta
  5. Run 3 is a free game, easily accessible to everyone.

    JibuFuta
  6. This article highlights the important focus the government is placing on key issues, and it’s reassuring to see such a commitment to prioritizing the welfare of its citizens. The ongoing dedication to progress is a positive step towards addressing both current and future challenges. It’s exciting to see how this approach will unfold and what impact it will have on the nation. Thanks for sharing this perspective—it’s great to be informed about the government's priorities!
    preliminary protective order hearing virginia
    reckless driving virginia 85 mph

    JibuFuta
  7. The saying "Serikali itaendelea kutoa kipaumbele" refers to the belief that serikali kuweka mkazo katika masuala fulani muhimu kwa maendeleo ya taifa. It expresses hutolewa, a lot of hutolewa, and a desire to be loved. It also emphasizes the importance of afya vijijini and the importance of afya vijijini.A strong lawyer-client relationship built on trust can make a significant difference in the outcome of a case or legal situation.virginia indecent exposure

    JibuFuta
  8. Serikali itaendelea kutoa kipaumbele kwa maendeleo ya sekta muhimu. Hatua hizi ni za kufaa kwa maendeleo ya taifa. carroll condado dui va

    JibuFuta
  9. The phrase "Serikali itaendelea kutoa kipaumbele" refers to the process of transforming a person into a divine being. It involves the transformation of a person into a divine being, the revelation of the divine nature, and the transformation of a person into a divine being.Having the right lawyer can make all the difference when navigating legal challenges. Whether you're dealing with personal injury, criminal defense, or corporate matters trucking accidents

    JibuFuta
  10. It is admirable that the government still gives preference to regional manufacturers of pharmaceuticals and medical equipment. Supporting homegrown producers helps the economy grow, promotes independence, and ensures that people can afford medical supplies. Long-term, this approach improves the healthcare system, encourages innovation, and lessens reliance on imports.
    The general law in the USA is a complex and evolving system rooted in both federal and state jurisdictions. It encompasses a wide range of legal principles, including constitutional, statutory, and case law. The system aims to balance individual rights with public order and safety. While it provides a framework for justice and legal processes, its complexity and variation across states can pose challenges. The ongoing development of laws reflects societal changes and strives to address contemporary issues, maintaining a dynamic legal landscape.
    assault and battery first offense

    JibuFuta