KATIBU MKUU Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto - Idara Kuu ya Afya Prof. Mabula Mchembe akisema jambo kwa wadau (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa Siku ya Tiba ya Asili kwa MwafrikaDkt....
Jumatatu, 31 Agosti 2020
Alhamisi, 27 Agosti 2020
SERIKALI KUSAINI HATI YA UTEKELEZAJI YA SHILINGI BILIONI 125.69 KWA AJILI YA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA MSINGI
Prof. Mabula Mchembe Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na WatotoNa. WAMJW-DodomaSerikali kupitia Wizara ya Afya, Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Wadau wa Maendeleo wanaochangia sekta ya afya...
Ijumaa, 21 Agosti 2020

TUSHIRIKIANE KUPAMBANA DHIDI YA MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA - MGANGA MKUU WA SERIKALI.
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi (watatu kutoka kushoto) akikagua taarifa za mgonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Kaskazini KCMC, pindi alipofanya ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma katika Hospitali hiyo.Mganga Mkuu wa...
Alhamisi, 20 Agosti 2020

HATUNA UHABA WA CHANJO NCHINI- DKT. LEONARD SUBI
Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Dkt. Leonard Subi, akisisitiza jambo mbele ya Waandishi wa habari wakati alipofanya ziara katika ghala la chanjo lililopo katika Hospitali ta Rufaa ya Mkoa...
Jumatano, 19 Agosti 2020

HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI NA MTOTO ZIMEENDELEA KUIMARIKA NCHINI
Na WAJMW-Dodoma Huduma za Afya kwa mama na mtoto zimeendelea kuimarika nchini baada ya uboreshwaji wa huduma za afya nchini katika kipindi cha miaka mitano toka 2015 hadi 2020. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya,...
Jumatano, 12 Agosti 2020
WATOA HUDUMA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI KWA KUZINGATIA MAADILI.
Mkurugenzi Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Grace Magembe akiwasalimia wagonjwa waliokuwa wakisubiri huduma katika eneo la wagonjwa wa nje (OPD) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara. Mkurugenzi wa...
Jumamosi, 8 Agosti 2020
WAZIRI UMMY APIGA MARUFUKU WANAFUNZI KUPEWA VIDONGE VYA FOLIC ACID MASHULENI
Picha mbalimbali zikimuonesha Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiambatana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare, Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela pamoja viongozi mbalimbali wakipita...
Jumatatu, 3 Agosti 2020
WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUTUMIA UTAALAMU WAO KWA AJILI YA USTAWI WA TAIFA
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara Kuu Afya Edward Mbanga akiongea na Wauguzi Wakuu wa Wilaya nchini wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha kuwajengea uwezo wa kusimamia maadili...