Na. Catherine Sungura,WAMJW-TaboraImeelezwa kuwa kuboreshwa kwa miundombinu imesaidia kwa kiasi kikubwa huduma ya damu salama kwenye Kanda ya Magharibi ambayo inahudumia mikoa ya Tabora,Katavi,Singida na Kigoma.Kaimu Meneja wa kanda hiyo Bi. Zaitun Abdalah ameyasema hayo wakati wa...
Alhamisi, 24 Septemba 2020
Jumatano, 23 Septemba 2020
WAUGUZI NCHINI WATAKIWA KUJIENDELEZA KIELIMU
Na. WAMJW-SingidaWIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewakumbusha wauguzi wote nchini kuhakikisha wanajiendeleza kielimu, ili baadae wawe na maarifa zaidi ambayo yatawaongezea ubunifu na utendaji wao wa kazi. Wito huo umetolewa leo na Mkurugenzi...
Ijumaa, 18 Septemba 2020

HOSPITALI NA TAASISI ZAELEKEZWA KUSIMAMIA VYEMA WANATAALUMA WA AFYA WALIO KATIKA MAFUNZO KWA VITENDO (WATARAJALI-(INTERNS)
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel MakubiNa.WAMJW-DodomaMganga Mkuu wa Serikali Prof.Abel Makubi amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakurugenzi wa taasisi, vyuo vya afya, na waganga wafawidhi kuhakikisha wanawafuatilia kwa karibu wanataaluma wa afya walio katika mafunzo...
Alhamisi, 17 Septemba 2020

WANATAALUMA WA SEKTA YA AFYA WAPEWA MIEZI SITA YA KUJISAJILI NA KUHUISHA LESENI ZAO
Mganga Mkuu wa Serikali wa Serikali Prof. Abel MakubiNa. WAMJW-DodomaWanataaluma wote wa sekta ya afya nchini wametakiwa wawe wamejisajili, na kuhuisha leseni kwenye mabaraza yao ya kitaalam ndani ya miezi sita kuanzia sasa. Aidha kwa wale ambao...
Jumatatu, 7 Septemba 2020

TANZANIA YATOKOMEZA UGONJWA WA KIPINDUPINDU MWAKA MMOJA SASA
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard SubiNa Gerard Chami - WAMJW, Arusha. Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imefanikiwa kutokomeza mlipuko wa...