Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Ijumaa, 24 Septemba 2021

WAZIRI MKUU AMUAGIZA WAZIRI AFYA KUPELEKA JOKOFU, DAKTARI KITUO CHA AFYA NDUNGU.


Na WAMJW -KILIMANJARO


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Afya Mhe. Dkt Dorothy Gwajima kununua na kipeleka Jokofu la kuhifadhi pamoja na kuongeza Daktari mmoja katika kituo cha afya Ndungu Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wakati serikali ikijipanga kukamilisha ajira za watumishi sekta ya afya kwa lengo la kuboresha utoaji huduma kwa wagonjwa.


Agizo hilo amelitoa wakati akikagua ukarabati wa kituo cha afya ndungu wilaya ya same mkoa wa kilimanjaro na kisha akazungumza na wabanchi katika eneo hilo.


Waziri Mkuu Majaliwa amesema kuwa, serikali imejipanga kujenga vituo vya afya viwili na hospitali mbili katika jimbo la Same Magharibi na Same Mashariki kwa lengo la kusogeza huduma za afya kwa hamii.


Aidha waziri mkuu Kassim Majaliwa amewapongeza madaktari wa kituo cha afya Ndungu kwa jitihada zao za kuwahudumia wananchi wanaokabiliwa na Magonjwa katika eneo hilo.Kwa Upande wake Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,jinsia wazee na watoto Dkt Dorothy Gwajima ametoa maelekezo kwa Katibu wa Wizara ya Afya Dkt Makubi kutekeleza agizo hilo kwakupeleka Daktari mmoja kwa ajili ya kusaidiana na Dkt aliyepo kwenye kituo cha afya Ndungu ambacho kimeonesha kuzidiqa na wagonjwa ambapo kwa mwaka hufanya upasuaji unaofikia wagonjwa 305.


Katika hatua nyingine Dkt Gwajima amesema kuwa, ili Tanzania iwe salama wananchi wanatakiwa kushikamana kwa umoja wao kwa kuzingatia maelekezo ya wataalamu wa afya huku akitilia mkazo kwa wananchi kujitokeza kwa ajili ya kupata chanjo kwa kuwa ugonjwa wa uviko 19 unahatalisha maisha ya watu.


Katika Hafla hiyo Waziri Gwajima amesema kuwa, serikali imefanya ukarabati wa kituo cha afya Ndungu Same kitengo cha maabara, chumba cha wazazi na chumba cha kuhifadhi maiti na tayari wizara imetenga shilingi milioni 35 kwa ajili ya kununua jokofu la vyumba sita ambapo ameagiza MSD ihakikishe inapeleka jokofu katika kituo cha afya ndungu Same


Akizungumzia mikakati ya kuboresha huduma za afya mkoa wa Kilimanjaro,


Waziri  Dkt Gwajima Amesema serikali ya awamu ya Sita umetenga kiasi cha sh bi 12 kwa ajili ya ujenzi wa jengo ka mama na Mtoto katika hospitali ya mkoa wa Kilimanjaro Mawenzi ambapo ujenzi umefikia asilimia 70 


Awali mbunge wa jimbo la Same magharibi Anne Kilango Malecela ameiomba serikali kujenga hospitali mbili kwa kuwa wilaya ya same ina majimbo mawili yenye watu wengi kiasi kwamba wanasabanisha msongamano mkubwa kwenye zahanati, na Vituo vya  Afya.


MWISHO.

33 on: " WAZIRI MKUU AMUAGIZA WAZIRI AFYA KUPELEKA JOKOFU, DAKTARI KITUO CHA AFYA NDUNGU."
 1. The Sands Casino Resort in Las Vegas - TCSF
  With over 1,500 slots and over 200 table games, The Sands Casino Resort boasts the ultimate in 메리트카지노 gaming action. ミスティーノ Visit 샌즈카지노 us for non-stop action,

  JibuFuta
 2. you made it right. it looks great at you prove it clearly . thumbs up ! 바카라사이트

  JibuFuta
 3. I really appreciate your effort doing this kind of article. 바카라사이트

  JibuFuta
 4. Hey there. I found your site by the use of Google whilst looking for a similar subject, your site came up. It looks good.

  Sign up for free. Easy to apply at this link:카지노사이트원
  카지노사이트
  바카라사이트
  온라인카지노

  JibuFuta

 5. Thanks for taking the time to discuss this, I feel strongly about it and love learning more on this topic. If possible, as you gain expertise, would you mind updating your blog with extra information? It is extremely helpful for me Feel free to visit my website;

  Sign up for free. Easy to apply at this link: 카지노사이트777
  카지노사이트
  바카라사이트
  온라인카지노

  JibuFuta
 6. Amazing article. Your blog helped me to improve myself in many ways thanks for sharing this kind of wonderful informative blogs in live.

  Sign up for free. Easy to apply at this link:
  카지노사이트존
  카지노사이트
  바카라사이트
  온라인카지노

  JibuFuta
 7. This is really interesting, You’re a very skilled blogger.
  포커게임

  JibuFuta
 8. It's hard not to read this post, interesting! Sharing is caring!
  릴게임

  JibuFuta
 9. We stumbled over here from a different web address and thought I should check things out.온라인카지노

  JibuFuta
 10. Hard to ignore such an amazing article like this.
  카지노사이트

  JibuFuta
 11. "Incredible Article it its truly instructive and inventive update us as often as possible with new upgrades. its was truly important. much obliged. 파워볼게임

  JibuFuta
 12. Thanks for share amazing content. Very interesting keep posting. 안전놀이터

  JibuFuta
 13. your work was exemplary. The information provided was very helpful and articulate. Keep recording. 토토

  JibuFuta
 14. After looking at a handful of the articles on your site, I seriously appreciate your technique of writing a blog.
  바둑이사이트넷

  JibuFuta
 15. Hi, yeah this article is actually pleasant and I have learned lot of things from
  it regarding blogging. thanks.토토사이트

  JibuFuta

 16. Keep up the good writing. please visit our beautiful website, spread the love, thankyou
  스포츠토토맨은
  고스톱사이트
  19가이드03

  JibuFuta

 17. THANKS FOR GIVING EVERYONE A REMARKABLY MEMORABLE POST THAT YOU’VE SHARED TO US.
  스포츠토토맨은
  고스톱사이트
  19가이드03

  JibuFuta
 18. I am really impressed by reading the information content you provided.

  릴게임사이트

  JibuFuta
 19. raja slot online slots are one of the slot sites that provide the most slot games and the most special slot bonuses too, the level of victory using the Cambodian server is indeed very different

  JibuFuta
 20. The most popular online gambling that is usually played by young people who often get maxwin is only on the https://slotonline.org site list, this site is already known and played by professional online gambling players.

  JibuFuta
 21. What are you waiting for, join here right now to play online gambling, many players are playing, big wins here are easy, the best thing is the server is simple and fun, situs deposit pulsa

  JibuFuta
 22. Your blog is a great example of how online content can be both informative and engaging - keep up the fantastic work!
  DUI Halifax VA

  JibuFuta
 23. It is an invaluable platform for health-related information, offering a wealth of resources and updates from the Tanzanian Ministry of Health. The blog's user-friendly interface makes navigating diverse topics effortless, catering to both healthcare professionals and the general public. Regularly updated content ensures access to the latest developments in healthcare policies, disease prevention, and medical advancements. A commendable initiative fostering awareness and empowering individuals to make informed decisions about their well-being.
  I 95 Accidente de Motocicleta
  Accidente de Motocicleta I95

  JibuFuta
 24. including the one you've provided. However, if you could provide me with a brief summary or some text from the content you'd like me to review, I'd be happy to help you with a review or analysis. Got a Reckless Driving Ticket in Virginia
  JibuFuta
 25. Waziri Mkuu kuhusu hatua zinazohitajika kuchukuliwa ili kuboresha hali ya sekta ya afya nchini. Kutoa maelekezo kwa Waziri wa Afya. Kuhakikisha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba, kuongeza idadi ya wafanyakazi wa afya, na kusimamia ubora wa huduma za afya, haya yanaweza mambo kama vile kuongeza bajeti ya afya, kuboresha huduma za afya katika maeneo ya vijijini. Atapaswa kufanya wa Afya kwa karibu na timu yake ili kutekeleza maelekezo haya kwa ufanisi na kuhakikisha kuwa Afya ya wananchi inaboreshwa kwa kasi na ufanisi zaidi. Huduma bora za afya zinapatikana kwa wananchi wote na kuimarisha ustawi wa taifa hatua hizi zinaweza kuchukuliwa ili kuhakikisha.Divorce Lawyers Fairfax VA | Divorce Attorneys Fairfax VA

  JibuFuta
 26. "Your articles never cease to amaze me. Each one is a captivating journey into the world of knowledge. Your insights and writing style are truly exceptional, and I find myself eagerly anticipating every new post. Thank you for consistently providing such valuable content and enriching our understanding. Your dedication and expertise are truly commendable." División de Propiedad de Leyes de Divorcio del Estado de Nueva York

  JibuFuta
 27. Please stay us up to date like this. Thank you for sharing. DUI Lawyer Winchester VA

  JibuFuta
 28. Commercial Contract Disputes Lawyer
  The Prime Minister's instructions to the Health Minister should be clear and concise, ensuring misunderstandings and misinterpretations. Tasks should be specified, with a timeline and priority based on urgency. Collaboration with stakeholders is crucial, and additional resources should be clearly stated for successful execution. Regular progress updates should be requested, allowing the Prime Minister to stay informed about developments. Contingency plans should be included to address potential challenges or obstacles during the implementation of the instructions. Public communication guidelines should be provided for updates or changes to the public. Compliance with regulations and laws is essential, and a feedback mechanism should be established for the Health Minister to report challenges, successes, or adjustments. Establishing a feedback mechanism allows for a more agile response to evolving situations. Lastly, it is essential to ensure the Health Minister is aware of and complies with existing regulations and laws while carrying out the assigned tasks.

  JibuFuta
 29. i am impressed with your great article with excellent ideas,keep sharing. Análisis de Accidentes de Motocicleta I 95 Estadísticas de Virginia

  JibuFuta