Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo vipeperushi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo vipeperushi. Onyesha machapisho yote
Alhamisi, 15 Februari 2018
Jumatatu, 12 Februari 2018

TUMEKOSOGEZA KARIBU
Jumatatu, Februari 12, 2018
-
Hakuna maoni
Wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto.
Inayo
furaha kubwa kuwakaribisha wananchi wote ndani na nje ya nchi
kutembelea katika mitandao yake ya kijamii ili kupata taarifa mbalimbali
za kiafya. Aidha tunakaribisha maoni na ushauri mbalimbali kuhusu sekta
ya afya. "Jenga taifa lenye afya bora kwa uchumi imara"
#AFYA_YANGU_MTAJI_WANGU
Ijumaa, 2 Februari 2018

TUMEKOSOGEZA KARIBU
Ijumaa, Februari 02, 2018
-
Maoni 3
Wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto.
Inayo
furaha kubwa kuwakaribisha wananchi wote ndani na nje ya nchi
kutembelea katika mitandao yake ya kijamii ili kupata taarifa mbalimbali
za kiafya. Aidha tunakaribisha maoni na ushauri mbalimbali kuhusu sekta
ya afya. "Jenga taifa lenye afya bora kwa uchumi imara"
#AFYA_YANGU_MTAJI_WANGU
Alhamisi, 14 Desemba 2017
Ijumaa, 17 Novemba 2017

SIKU YA MTOTO NJITI DUNIANI, NOVEMBA 17.
Ijumaa, Novemba 17, 2017
-
Hakuna maoni
Mtoto kuzaliwa kabla ya wakati wake (Njiti), ni pale ambapo mtoto huzaliwa kabla ya mimba kukamilisha wiki 37 za ujauzito.
Kumbuka uonapo moja kati ya dalili za mtoto njiti kama zilivyotajwa katika kipeperushi hapo juu mpeleke mjamzito au mtoto kwenye kituo cha huduma za Afya kwa uchunguzi na matibabu.
OKOA MAISHA.
Jumatatu, 13 Novemba 2017
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)