Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Ijumaa, 17 Novemba 2017

SIKU YA MTOTO NJITI DUNIANI, NOVEMBA 17.Mtoto kuzaliwa kabla ya wakati wake (Njiti), ni pale ambapo mtoto huzaliwa kabla ya mimba kukamilisha wiki 37 za ujauzito. 

Kumbuka uonapo moja kati ya dalili za mtoto njiti kama zilivyotajwa katika kipeperushi hapo juu  mpeleke mjamzito au mtoto kwenye kituo cha huduma za Afya kwa uchunguzi na matibabu.
OKOA MAISHA.

0 on: "SIKU YA MTOTO NJITI DUNIANI, NOVEMBA 17."