Katibu Mkuu
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya kushoto akimkabidhi
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya chakula na Lishe (TFNC) Dkt. Vincent Assey wa
kwanza kulia wakati wa uzinduzi wa hivyo
vilivyoandaliwa na Kanda ya mashariki ya kati na kusini inayojihusisha na maswala ya afya (ECSA).
Katibu Mkuu
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya kulia akikata keki
kuashiria kuzindua vitini vya mafunzo
juu ya lishe bora katika jamii yetu vilivyoandaliwa na Kanda ya mashariki ya
kati na kusini inayojihusisha na maswala
ya afya (ECSA) wakati wa uzinduzi huo uliofanyika leo jijini Dar es salaam, wa
kwanza kulia ni Afisa msaidizi wa ECSA Bi. Dorin Marandu.
Meneja wa
Magonjwa yasioambukiza ,Usalama wa Chakula na lishe na Kanda ya
mashariki ya kati na kusini
inayojihusisha na maswala ya afya (ECSA)
Bi. Rosemary Mwaisaka akiongea
wadau mbalimbali wa maswala ya lishe hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa vitini vya mafunzo juu ya lishe bora
katika jamii yetu vilivyoandaliwa na Taasisi hiyo.
Katibu Mkuu
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya kulia akimlisha keki
mmoja wa washiriki na mtoa huduma wa lishe ngazi ya jamii Bi. Evelyne Minja wa
pili kushoto wakati wa uzinduzi huo uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
0 on: "DKT. MPOKI AZINDUA VITINI VYA MAFUNZO YA JUU YA LISHE BORA KATIKA JAMII."