Na WAMJWW
WATANZANIA
waaswakujihusishanatabia ya
kupendakufanyamazoeziilikuepuk augonjwawakisukarinaviashiriav yakekatikajamiiyetuinayotuzung uka.
HayoyamesemwanaMkurugenziwaKin ga
Wizara ya afya Dkt. NeemaRusibamayilaalipomwakilsh aWaziriwa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia ,WazeenaWatotoMhe. UmmyMwalimuwakatiwakuadhimisha siku ya
Kisukaridunianileojijini Dar es salaam.
“ Watanzaniatunatakiwakupendakuj ijengeatabia
ya kufanyamazoezimarakwamarailiku wezakuepukamagonjwayasioambuki zaikiwemoKisukarinaviashiriavy akekwaujumla”
alisemaDkt. Rusibamayila.
AidhaDkt.
Rusibamayilaamesemakuwawatanza niawengihawanabudikujikinganau gonjwahuokwaniasilimia
60 wanafarikikwaugonjwahuoduniani kilamwaka.
KwamujibuWaDkt.
Rusibamayilaamesemakuwaasilimi akubwa ya
wanawakenchiniwanauzitomkubwa, mafutamenginahawajihusishinama zoezihivyohupelekeakupatahatha rizaugonjwawakisukari.
MbalinahayoDkt.
Rusibamayilaamesemakuwalichatu ya kufanyamazoezilakinipiawanatak iwakuepukamatumizi
ya vileokama vile uvutajitumbaku, unywajipombenauvutajiwa shisha
ilikuepukamagonjwayasioambukiz akwaniyamekuwahatarikwawatanza nia.
Kwaupande
wake KaimuMkurugenziwaKituo cha chakulanaLishe (TFNC) Dkt. VicentAsseyamesemakuwasambamba nakufanyamazoeziwatanzaniawana takiwakuzingatiamloulio
bora ilikuepukaugonjwawakisukari.
AidhaDktAsseyamesisitizawalimu
, wazazinawatoahudumangazi ya
jamaiiwanatakiwakuwakipaumbele katikakuelimishawatotonajamiin zimakwaujumlajuu ya
lishe bora ambayohuletakingazidi ya kisukari.
Siku
ya kisukariDunianihuadhimshwaNove mba 14
kilamwakanamwakahuuimeadhimish wasambambanamatembezi ya hiarinamazoezi ya
pamojakutokaviwanjavyamuhimbil impkaMnazimmojanakubebaKaulimb iuisemayo “MWANAMKE
NA KISUKARI “ ikimaanishawanawakewawemstariw ambelekatikakupambananaugonjwa huo.
0 on: "WATANZANIA WAASWA KUFANYA MAZOEZI KUEPUKA UGONJWA WA KISUKARI. NA WAMJW-DA ES SALAAM.N"