Picha ya Ugeni wa viongozi wa Tiba
Asili kutoka China wakiwa katika kikao na viongozi wa Wizara ya Afya kilichoongozwa
na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Mpoki Ulisubisya mapema leo jijini Dar es
salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akisisitiza jambo mbele
ya jopo la Viongozi wa Tiba Asili kutoka China (hawapo katika picha)
waliowasili nchini Novemba 12 lengo likiwa ni kuikuza Sekta ya Afya nchini
kulia ni Mkurugenzi msaidizi,idara ya ushirikiano wa kimataifa wa masuala ya
Tiba Asili nchini China, Mr Wu Zhendou.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akipokea zawadi kutoka
kwa Mkurugenzi msaidizi,Idara ya ushirikiano wa kimataifa wa masuala ya Tiba
Asili nchini China Mr Wu Zhendou.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akionesha zawadi aliyopokea
kutoka kwa Uongozi wa Tiba Asili nchini Chini, wa kwanza kushoto ni Mr. Liu
Qunfeng, wa pili ni Mkurugenzi msaidizi,Idara ya ushirikiano wa kimataifa wa
masuala ya Tiba Asili nchini China Mr Wu Zhendou na wa mwisho ni Mganga Mkuu wa
Serikali Prof. Bakar Kambi.
Picha ya pamoja ikiongozwa na Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Mpoki
Ulisubisya muda baada ya kuupokea ugeni kutoka nchi ya China katika masuala ya
Tiba Asili, mapema leo katika Ofisi ndogo za Wizara ya Afya, Jijini Dar es
salaam.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 on: "WIZARA YA AFYA YAPOKEA UGENI KUTOKA CHINA KUHUSU MASUALA YA TIBA ASILI."