Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Alhamisi, 9 Novemba 2017

UFAFANUZI KUHUSU WANAOPASWA KURIPOTI WIZARA YA AFYAJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

UFAFANUZI KUHUSU WANAOPASWA KURIPOTI WIZARA YA AFYA


WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO INAPENDA KUTOA UFAFANUZI KUHUSU WALE WANAOPASWA KURIPOTI MAKAO MAKUU YA WIZARA YA AFYA DODOMA NI WALE WAOMBAJI 30 TU WALIOPANGIWA WIZARA YA AFYA.
WENGINE WALIOPANGWA KWENYE MIKOA NA HALMASHAURI WANAPASWA KURIPOTI KWENYE VITUO WALIVYOPANGIWA NDANI YA SIKU 14 KAMA ILIVYOTANGAZWA KWENYE TOVUTI YA OR TAMISEMI.


Imetolewa na:-

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Afya

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

09/11/2017.

0 on: "UFAFANUZI KUHUSU WANAOPASWA KURIPOTI WIZARA YA AFYA"