Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu aliyesimama akiongea na baadhi ya wafanyakazi
wa Taasisi ya Mifupa nchini MOI wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu
iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es salaam, Kulia ni Balozi
wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem.
Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim
Al-Najem aliyesimama akiongea na baadhi ya
wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa nchini MOI wakati wa uzinduzi wa Benki
ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es salaam , katikati
waliokaa ni Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.
Ummy Mwalimu na anayefuata ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Dkt. Respicious
Lwezimula.
Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim
Al-Najem kulia akimkabidhi zawadi ya mchango mkubwa katika Wizara ya Afya Mhe.
Ummy Mwalimu kushoto wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na
Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es salaam.
Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizindua Benki ya damu
iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es salaam akiwa na Balozi wa
Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem.
Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim
Al-Najem akichangia damu katika Benki ya damu mpya iliyozinduliwa na Waziri Wa
Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa
uzinduzi huo uliyofanyika leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mifupa
MOI Dkt. Respicious Lwezimula
aliyesimama akiongea na baadhi ya
wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa nchini MOI wakati wa uzinduzi wa Benki
ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es salaam, kulia
aliyekaa ni Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.
Ummy Mwalimu.
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya
Mifupa nchini MOI wakimsikiliza kwa makini ni Waziri Wa Afya,Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu hayupo pichani wakati wa
uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es
salaam.
Mwanachama wa Kikundi cha Kutayarisha
Madereva wa Magari Makubwa Wanawake
(WOW) Afrika Mashariki Bi. Rehema Mwangolombe akiwa katika maandalizi ya
kuchangia damu damu katika Benki ya damu
mpya iliyozinduliwa na Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi huo uliyofanyika leo jijini Dar es
salaam.
0 on: " "