Mkurugenzi wa Tiba Dkt.
Dorothy Gwajima akieleza jambo mbele ya jopo la Madaktari kutoka China na watumishi kutoka Idara kuu ya Afya (Hawapo katiaka picha) wakati wa kikao cha cha kuwaaga madaktari 25 kutoka China
waliotumikia nchini Tanzania katika sekta hiyo.
Barozi wa PRC Mh. Ms Wang Ke
akisisitiza jambo mbele ya jopo la madaktari kutoka China (Hawapo katiaka picha)
wa kikao cha cha kuwaaga madaktari 25 kutoka China waliotumikia nchini Tanzania
katika Sekta ya Afya kwa miaka 2, wakwanza kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mohamed Mohamed na wa mwisho ni kiongozi wa madaktari kutoka
China Dkt. Zhu Jian.
Jopo la madaktari kutoka China
wakifuatilia taarifa fupi kutoka kwa Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mohamed Mohamed wakati wa kikao
cha cha kuwaaga madaktari 25 kutoka China waliotumikia nchini Tanzania katika Sekta
ya Afya kwa miaka 2.
Baadhi ya Watumishi wa Serikali Idara
kuu ya Afya wakiwa katika kikao cha kuwaaga madaktari 25 kutoka China
waliotumikia nchini Tanzania katika Sekta ya Afya kwa miaka 2, kilichoongozwa na Kaimu Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mohamed
Mohamed mapema leo katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es salaam.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mohamed Mohamed, akimkabidhi zawadi kiongozi wa madaktari kutoka China Dkt.
Zhu Jian kama ishara ya shukurani kwa mchango waliouonesha katika Sekta ya Afya
nchini Tanzania, Upande wa kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Dkt.
Dorothy Gwajima.
Picha ya pamoja ikiongozwa na Kaimu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.
Mohamed Mohamed, wakati wa kikao cha cha kuwaaga madaktari 25 kutoka China
waliotumikia nchini Tanzania katika sekta ya Afya kwa miaka 2, kikao icho kimefanyika mapema leo
katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es salaam.
0 on: "WIZARA YA AFYA YAWAAGA MADAKTARI 25 KUTOKA CHINA WALIODUMU NCHINI KWA MIAKA 2."