JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA
YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
TAARIFA KWA
UMMA
SIKU YA
MATUMIZI YA CHOO DUNIANI, LEO NOVEMBA 19, 2017
Tanzania yetu na Vyoo Bora. Bado
tunayo kazi kubwa ya kufanya:-
Kaya zenye vyoo bora ni 40% tu. Kaya
zenye vifaa maalum (sabuni + maji) vya kunawa mikono ni 34% tu.
Kati ya shule za Msingi (16,088)
zenye vyoo bora ni 28% tu. Choo bora kwa kila mtu, kila mahali inawezekana.
Wilaya ya Njombe, zaidi ya asilimia
95% ya Kaya zina vyoo bora na sehemu maalum za kunawia mikono.
Tujenge na kutumia ChooBora.
Imetolewa na,
Ummy Mwalimu (MB),
Waziri wa Afya,
19 Nov. 2017
Dodoma.
0 on: "SIKU YA MATUMIZI YA CHOO DUNIANI, LEO NOVEMBA 19, 201"