Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Jumamosi, 4 Novemba 2017

MAKAMU WA RAIS MH. SAMIA SULUHU AFUNGUA MATEMBEZI YA HISANI YENYE LENGO LAKUKUSANYA FEDHA KWAAJILI YA MAFUNZO YA UUGUZI NA UKUNGA.


Mgeni rasmi Mh. Samia Suluhu akiongoza matembezi ya Hisani yenye lengo la kukusanya Fedha zitakazo saidia kugharamia mafunzo ya uuguzi na ukunga mapema leo.

Meza Kuu ikiongozwa na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu mapema leo katika Matembezi ya Hisani yenye lengo la kukusanya Fedha zitakazo saidia kugharamia mafunzo ya uuguzi na ukunga katika viwanja vya Green ground jijini  Dar es salaam. Kushoto kwake ni Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu (MB).
Wadau kutoka taasisi mbali mbali wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Mh. Samia Suluhu (hayupo kwenye picha) katika Matembezi ya Hisani yenye lengo la kukusanya Fedha zitakazo saidia kugharamia mafunzo ya uuguzi na ukunga.

 

Mgeni rasmi Makamu wa Rais Mh, Samia Suluhu akikabidhi cheti kwa mmoja kati ya wadau alieshiriki kukamilisha kwa shughuli hiyo ya Matembezi ya Hisani yenye lengo la kukusanya Fedha zitakazo saidia kugharamia mafunzo ya uuguzi na ukunga, yaliyofanyika mapema leo jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu (wakulia) akimuonesha zawadi Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu (wakwanza kushoto) aliyokabidhiwa kutoka Shirika la Amref katika siku ya Matembezi ya Hisani yenye lengo la kukusanya Fedha zitakazo saidia kugharamia mafunzo ya uuguzi na ukunga.
Picha ya Pamoja ikiongozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Mh. Ummy Mwalimu (MB) wakati wa Matembezi ya Hisani yenye lengo la kukusanya Fedha zitakazo saidia kugharamia mafunzo ya uuguzi na ukunga yaliyofanyika mapema leo viwanja vya Green ground jijini  Dar es salaam.0 on: "MAKAMU WA RAIS MH. SAMIA SULUHU AFUNGUA MATEMBEZI YA HISANI YENYE LENGO LAKUKUSANYA FEDHA KWAAJILI YA MAFUNZO YA UUGUZI NA UKUNGA."