Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluh Hassan amezitoa wasisi
Nchi wanachama wa SADC kuwa Bohari kuu ya Dawa (MSD) imejipanga vizuri
kuhakikisha jukumu la uratibu wa manunuzi ya pamoja linatekelezwa kwa ufanisi
wa hali ya juu.
Ameyasema hayo
leo wakati akifungua Mkutano wa pamoja wa Mawaziri wanaosimamia Sekta ya Afya
na UKIMWI wa Jumuiya ya maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), katika
ukumbi wa BOT, Jijini Dar es salaam.
“Nitumie fursa hii kuwahamasisha nchi wananchama wa SADC kuwa MSD imejipanga vizuri kuhakikisha jukumu hili la uratibu wa manunuzi ya pamoja unatekelezwa kwa ufanisi mkubwa” Amesema Mhe. Samia Suluhu Hassan.
“Nitumie fursa hii kuwahamasisha nchi wananchama wa SADC kuwa MSD imejipanga vizuri kuhakikisha jukumu hili la uratibu wa manunuzi ya pamoja unatekelezwa kwa ufanisi mkubwa” Amesema Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Kwa upande mwingine, Mhe. Samia alisema katika kipindi cha miaka mine, vituo vipya vya afya 352 vimejengwa na maeneo mbalimbali, ngazi ya kata, hospitali 67 katika ngazi ya Wilaya na hospitali 6 za mikoa katika kurahisisha utoaji huduma za afya.
Mbali na hayo,
Mhe. Samia alisema
Serikali imeendelea kuongeza bajeti ya dawa
kutoka vyanzo vya ndani kutoka Sh30 bilioni kwa mwaka 2015/2016 hadi
kufikia Sh260 bilioni 2019/2020, ikiwa ni juhudi za Serikali katika
kuwahudumia Wananchi wa hali zote katika jamii.
“Vilevile Serikali kupitia Taasisi
yake ya MSD imetengeneza mfumo wa ugavi unaosimamia manunuzi ya pamoja ya dawa
na vitendanishi kwa lengo la kuongeza ufanisi na kupunguza gharama za manunuzi
nchini na kwa nchi wanachama wa Sadc, hii yote ni katika kufikia afya kwa
wote,” alisema.
Aidha, Mhe.
Samia alisema, tayari Tanzania
iliashaanza kuandaa mazingira ya kuingia katika mchakato huo kwa kuwekeza
katika sekta ya afya na kuweka mifumo madhubuti inayowawezesha wananchi kumudu
gharama za matibabu.
“Ili kufikia lengo la afya
bora kwa wote
na kutatua changamoto ya ugharamiaji wa huduma za afya, Serikali inatarajia
kuanzisha bima ya afya kwa wananchi wote, hali
itayosaidia Wananchi kumudu gharama kubwa za matibabu”, alisema.
Mhe. Samia
aliendelea kusema kuwa, Kwenye suala la kufikia lengo la afya kwa wote, Serikali ya
Tanzania imeweka kipaumbele katika kuimarisha miundombinu na mifumo ya afya
hususasn katika kuhakikisha huduma za afya zinazotolewa kwa kuzingatia ubora.
Nae, Meneja wa kanda ya Afrika
kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Rebeca Matshidiso
Moeti alisema kuwa, ni muhimu kila mwananchi
kupata huduma za afya bila vikwazo kiuchumi, hii itaongeza thamani ya maisha.
“Mpango wa huduma ya afya kwa wote
umeweza kusaidia kuokoa maisha pamoja na kuongeza thamani ya maisha kwa
wananchi wengi, hasa katika nchi ambazo zimeshaanza utekelezaji,” alisema Dkt. Rebeca Matshidiso Moeti.
Aidha, Waziri
Ummy alisema kuwa, “Jumuiya ya SADC ilisaini itifaki ya afya (protocol health)
mwaka 1999 ambayo ilizinduliwa mwaka 2004 kwa ajili ya kutoa muongozo wa
masuala ya afya na UKIMWI, ,jumuiya ilianzisha mkakati wa maendeleo wa kanda
kwa kipindi cha miaka mitano.
Aliendelea
kusema kuwa, Mawaziri wa SADC wanaoshughulika na masuala ya UKIMWI wamekua
wakikutana kila mwaka kwa ajili ya utekelezaji wa program mbalimbali za afya na
UKIMWI zilizoainishwa katika kipengele B cha mkakati huo.
“Mawaziri
wenzangu leo tuna wajibu mkubwa wa kupitia, kujadili na kuridhia mapendekezo
yatakayowasilishwa na wataalamu ambayo yanalenga kuhakikisha utekelezaji wa
maazimio hayo pamoja na kulinda maslahi ya jumuiya yetu”, alisisitiza Waziri
Ummy.
The 9/6 half refers to the to the} payback schedule on this kind of|this type of|this sort of} machine. In ourComplete Guide to Online Video Poker, we’ll cover every little thing want to|you should|you have to} know about video poker. Coach Kitty estimates she performs an average of 850 arms an hour, or about 14 arms a minute. That’s 14 selections a minute, and we can to} 카지노사이트 barely resolve what to have for lunch. Enter your e-mail under to get the latest bonus provides.
JibuFuta