Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisema jambo wakati wa uzinduzi wa kliniki ya huduma za methadone Mkoa wa Tanga Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
Jumatatu, 29 Juni 2020
Jumanne, 23 Juni 2020

UGONJWA WA CORONA USIWE KIGEZO CHA WATOTO KUKOSA CHANJO
Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma ya Afya ya Uzazi na Watoto, Dk.Ahmad Makuwani akisema jambo kwa wanahabari (hawapo pichani) wakati wa semina ya huduma za chanjo. Afisa Programu ya Chanjo wa Mpango wa Taifa wa Chanjo kutoka...
Ijumaa, 19 Juni 2020
WAZIRI UMMY AZINDUA MWONGOZO WA MATIBABU YA SIKOSELI
Waziri Ummy Mwalimu akiwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi wakikata utepe kuzindua muongozo wa tiba ya wagonjwa wa Sikoseli nchini Waziri Ummy Mwalimu akimsikiliza mmoja wa watoto waliozaliwa na Sikoseli wakati wa maadhimisho...
Jumatano, 17 Juni 2020

JARIDA LA WIZARA YA AFYA - TOLEO LA 1
bintiz("summary180683272382914675","JARIDA LA WIZARA YA AFYA - TOLEO LA 1","https://afyablog.moh.go.tz/2020/06/jarida-la-wizara-ya-afya-toleo-la-1.html","");...

WAZIRI UMMY AITAKA BODI MPYA YA TMDA KUWEZESHA UKUAJI WA UCHUMI, USHAMIRI WA BIASHARA NA UWEKEZAJI TANZANIA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akigawa vitendea kazi kwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya ushauri ya Wizara kwa Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) Bw. Erick Shitindi mara...
Jumatatu, 15 Juni 2020
SERIKALI IMEENDELEA KUTEKELEZA MAKUBALIANO YA KIMATAIFA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA VVU.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akieleza jambo, wakati wa kikao cha Kamati za Kudumu za Bunge za Masuala ya UKIMWI na Huduma za Maendeleo ya Jamii kuhusu mafanikio...
Jumapili, 14 Juni 2020
WAZIRI UMMY AZITAKA HOSPITALI ZOTE NCHINI KUACHA KUWADAI DAMU WAGONJWA KABLA YA HUDUMA
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wachangia Damu Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma mapema leo. Meneja wa Mpango wa Damu Salama...