Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Jumatano, 30 Oktoba 2019

SARATANI YA MATITI YAWEZA KUSHIKA NAMBA MOJA

- Hakuna maoni

Mkurugenzi wa huduma za Kinga ya Saratani  katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) Dkt. Crispian Kahesa SARATANI YA MATITI YAWEZA KUSHIKA NAMBA MOJANa. Catherine Sungura, WAMJW-DSMEndapo hatua zisipochukuliwa za  saratani ya matiti inaweza kushika...

Jumanne, 29 Oktoba 2019

MAAMBUKIZI YA VVU NCHINI YASHUKA KWA ASILIMIA 2.3

- Hakuna maoni

  Na WAMJW- DSM Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa maambukizi ya VVU yamepungua kutoka asilimia 7 mwaka 2003/4 hadi asilimia 4.7 mwaka 2016/17 . Waziri Ummy...

Jumanne, 22 Oktoba 2019

HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA MARA KUKAMILIKA 2020

- Hakuna maoni

Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara. Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. Zainab Chaula (kulia) akizungumza na watendaji wake alipotembelea ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara. Na.WAMJW Hospitali ya rufaa...

Jumamosi, 19 Oktoba 2019

KATIBU MKUU DKT. CHAULA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI MWANZA

- Hakuna maoni

Picha mbalimbali zikimuonesha Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Sekou Toure kukagua ujenzi wa jengo la ghorofa litakalotoa huduma mbalimbali kisha kutembelea baadhi ya maeneo ya utoaji wa huduma za afya, kuongea...

Alhamisi, 17 Oktoba 2019

DKT. CHAULA ATAKA MAHUSIANO BORA KWA WATUMISHI WA SEKTA YA AFYA

- Hakuna maoni

Na WAJMW-MWANZA Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Zainab Chaula amezidi kusisitiza mahusiano bora baina ya watumishi walio katika sekta ya afya katika maeneo yao ya kazi na kuwataka kuongeza mapato ili yaweze kuendesha Hospitali...

Jumanne, 15 Oktoba 2019

MAAMBUKIZI YA VVU YAZIDI KUPUNGUA NCHINI

- Hakuna maoni

Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula akielezea jambo mbele ya kamati ya bunge ya kudumu ya masuala ya UKIMWI wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya mpango ya taifa wa kudhibiti UKIMWI katika kipindi cha mwaka...

Alhamisi, 3 Oktoba 2019

TAARIFA KUHUSU MWENENDO WA MAGONJWA YA MILIPUKO NCHINI KWA MWEZI SEPTEMBA NA HATUA ZINAZOCHUKULIWA NA SERIKALI KUZUIA NA KUDHIBITI MAGONJWA

- Hakuna maoni

Wizara Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekuwa ikitoa taarifa kwa wananchi mara kwa mara kuhusiana na mwenendo wa magonjwa ikiwemo magonjwa ya milipuko (epidemic diseases) nchini na hatua zinazochukuliwa kuzuia na kudhibiti magonjwa...

Page 1 of 102123»