Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Jumatatu, 30 Machi 2020

ARUSHA YAZINDUA ZOAEZI LA KUPULIZA DAWA KUUWA VIJIDUDU NA KUWAKINGA ABIRIA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA

- Hakuna maoni

  Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akipuliza dawa ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa corona katika moja ya mabasi kwenye uzinduzi wa zoezi hilo uliofanyika stendi ya mabasi makubwa jijini humo. Na Jusline Marco;ArushaMkuu...

WAZIRI MKUU APOKEA MISAADA YA SH. BILIONI 1.185 KUKABILIANA NA COVID-19

- Hakuna maoni

  Waziri Mkuu,   Kassim Majaliwa akipokea hundi ya sh. milioni 230  ukiwa ni mchango wa Benki ya UBA wakati alipopokea michango kutoka kwa wadau mbalimbali  kwa ajili ya mapambano dhidi ya  ugonjwa wa CORONA, Machi 28, 2020. Kulia ni...

MAJALIWA : NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI YA KITUO

- Hakuna maoni

Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu  (wa tatu kulia) wakati alipokagua hospitali ya wilaya ya kibaha iliyopo eneo la Lulanzi  ambayo imetengwa kwa ajili ya kuwahuduma...

Alhamisi, 26 Machi 2020

HADI SASA TUMEWEZA KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA NDANI KWA NDANI YA CORONA-WAZIRI UMMY

- Hakuna maoni

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto, Ummy Mwalimu, akieleza jambo, wakati akiongea na Waandishi wa Habari juu ya mwenendo wa ugonjwa wa Corona (COVID-19) Jijini Dodoma. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...

Jumatano, 25 Machi 2020

SERIKALI YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA (COVID-

- Hakuna maoni

Mganga Mkuu wa  Serikali, Prof. Muhammed Bakari Kambi akipokea msaada wa vifaa kinga kutoka China kwaajili ya kusaidia kukabiliana na Corona.   SERIKALI imepokea msaada wa vifaa kinga kutoka China kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na...

TAASISI YA BENJAMIN MKAPA YAMWAGA AJIRA 307 ZA WATUMISHI WA AFYA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akieleza jambo wakati wa kikao na Waandishi wa habari, kilichofanyika Jinjini Dodoma.  Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...

Jumatatu, 23 Machi 2020

WAGANGA WAKUU WA MIKOA WAPENI ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA WANANCHI - DKT.CHAULA

- Hakuna maoni

  Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara kuu afya Dkt. Zainab Chaula akiongea na waganga wakuu wa mikoa(hawapo pichani) wakati wa mkutano wa kujadili utayari wa kukabiliana na tishio la...

Jumatatu, 16 Machi 2020

FEDHA ZA MWENGE WA UHURU ZITUMIKE KUKABILIANA NA UGONJWA WA CORONA - RAIS MAGUFULI

- Hakuna maoni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  FEDHA ZA MWENGE WA UHURU ZITUMIKE KUKABILIANA NA UGONJWA WA CORONA- RAIS MAGUFULINa Englibert Kayombo - WAMJW, Dar Es SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano...

Ijumaa, 6 Machi 2020

TAFITI ZA HOSPITALI YA KIBONG’OTO ZASAIDIA DUNIA KATIKA MAPAMBANO YA UGONJWA WA KIFUA KIKUU

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Rufaa ya Taifa ya Magonjwa Ambukizi Kibong'oto Dkt. Riziki Kisongo akisema jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi, Madawa ya Kulevya na Kifua Kuu. Mkurugenzi...

Alhamisi, 5 Machi 2020

JESHI LA MAGEREZA WAJIVUNIA KUFIKIA MALENGO YA MILENIA 90-90-90 DHIDI YA VVU

- Hakuna maoni

Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akisema jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya (hawapo pichani) wakati wa ziara katika Gereza Kuu la Arusha. ACP Dkt. Richard Mwankina...

TANZANIA HAINA UPUNGUFU WA DAWA ZA ARV

Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Leonard Subi akisema jambo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya na viongozi waandamizi wa Jeshi la Magereza...

Jumatano, 4 Machi 2020

WAZIRI UMMY ATOA MASAA KWA HALMASHAURI ZOTE KUTENGA SEHEMU ZA KUWEKA WASHUKIWA WA CORONA

- Hakuna maoni

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akiongea wakati akifungua mafunzo ya jinsi ya kuepuka maambukizi ya Virusi vya Corona kwa viongozi wa dini mbalimbali waliojitokeza katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar Es Salaam. Mkurugenzi wa Maafa...

Page 1 of 102123»