SERIKALI KUBORESHA MAENEO YA KUTUPA TAKA:DKT. SUBI
Na.Catherine Sungura,WAMJW-Dodoma
Serikali ya awamu ya tano ina nia ya dhati ya kuboresha maeneo ya kutupia taka hususani madampo yaliyopo kwenye miji ili yawe ya kisasa.
Hayo yamesemwa leo na Dkt. Leonard Subi Mkurugenzi wa huduma za kinga kutoka Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto kwenye kilele cha wiki ya usafi wa mazingira kitaifa na mkutano wa maafisa afya wa mikoa na halmashauri iliyofanyika jijini Dodoma.
Dkt.Subi amesema kuwa,uchafuzi wa mazingira utokanao na taka ngumu umeendelea kuwa changamoto katika maeneo ya mijini.
"Ili kukabiliana na tatizo hili,Serikali imepanga kuongeza nguvu kwenye mamlaka za serikali za mitaa ili kuboresga miundombinu katika mitaa iliyopo nchini hasa katika suala la usimamizi wa taka ngumu na majitaka".
Aidha,Dkt. Subi amesema serikali imeandaa mwongozo wa uwekezaji katika taka ngumu ili kuhamasisha uwekezaji na kuongeza jitihada za kuboresha usimamizi wa taka hapa nchini.
Hata hivyo alizitaka halmashauri zipitie sheria ndogo za halmashauri ili kutekeleza vema,Sheria ya Afya ya Jamii ya mwaka 2009 hususani katika maeneo ya utiririshaji maji taka hasa katika maeneo ya mijini na kudhibiti tabia ya kujisaidia porini wakati wa kusafiri maarufu kama ' kuchimba dawa’ ambayo bado imeendelea kuwepo.
Dkt.Subi aliwapongeza maafisa afya hao katika maeneo ya ujenzi wa vyoo bora,unawaji wa mikono ,huduma za afya mipakani,udhibiti wa kipindupindu,Corona,mlipuko wa Dengue pamoja na udhibiti wa taka zitokanazo na huduma za afya na mengine mengi.
Naye Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Afya Tanzania (CHAMATA) Twaha Mubarak ameishukuru Wizara ya afya kwa kufanya afya mazingira ni kipaumbele katika kuondoa magonjwa,hivyo wataalam wanajivunia na kuweza kupunguza ugonjwa wa Malaria ili kuweza kufanikiwa kutimiza lengo la kutokomeza Malaria ifikapo mwaka 2030.
Serikali inapaswa kuboresha maeneo ya kutupa taka kwa kuanzisha mifumo bora ya usimamizi wa taka, kama vile kuhimiza urejelezaji, kutenga maeneo maalum, na kutumia teknolojia rafiki kwa mazingira. "As a lawyer, uphold the principles of justice, integrity, and confidentiality. Provide clear, accurate advice tailored to each client's unique needs. Stay informed about changes in laws and precedents to deliver the best outcomes.
JibuFutachapter 7 lawyer near me
divorce in new jersey laws
The user is unfamiliar with the term "hamu-onamir" and is seeking clarification on whether they are referring to a specific person, phrase, or information.Do you need legal commentary or advice related to a case or topic attorney near me
JibuFutaInaonekana can access wazo la serikali kuboresha maeneo ya kutupa taka, na hindi ni wazo muhimu kwa ajili ya kulinda mazingira na afya ya jamii. Hapa maoni kadhaa kuhusu jinsi serikali inaweza kuboresha maeneo haya: 1) Kuanzisha miundombinu bora ya kutupa taka, 2) Edukasheni kwa Jamii, 3) Kuboresha Mfumo wa Usafirishaji wa Taka. They not only represent clients in court but also help with contracts, negotiations, and legal advice, often preventing legal issues before they arise.bankruptcy chapter 7 lawyer near me
JibuFuta