Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga.Dkt. Khalid Massa,(kulia)
akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani Dar es Salaam
jana,kuhusu Serikali ya Tanzania ilivyojipanga kukabiliana na magonjwa
milipuko ikiwemo Ebola. kushoto ni Dakitari wa Wizara ya Afya.Dkt.
Faraja Msemwa.
Mwakilishi wa Shirika La Afya Duniani (WHO) Kutoka Uganda Dkt.Miriam
Nanyunja, akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Taifa ya kukabiliana na
magonjwa ya Milipuko ikiwemo Ebola. wakati wa kutathimini mikakati
iliyowekwa na nchi kukabiliana na magon jwa hayo.kushoto ni Ofisa
anaeshughulikia magonjwa ya Milipuko.Dkt.Grace Saguti
Baadhi ya wanakamati wa Taifa wa kukabiliana na magonjwa ya Milipuko
wakifuatilia kwa makini tathimini ya mikakati ya kutekeleza mpango wa
kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mbalimbali ikiwemo Ebola
0 on: "SERIKALI YA TANZANIA IMEJIPANGA KUDHIBITI MAGONJWA YA MLIPUKO"