Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Alhamisi, 19 Julai 2018

WAZIRI UMMY ATEMBELEA HOSPITAL YA RUFAA MKOA TABORA KITETE

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu Kulia akipata maelezo juu ya Chumba cha Upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Kitete mkoani Tabora kutoka kwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tabora  Dkt. Gunin Komba kushoto wakati wa ziara yake mkoani humo.


Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kushoto akimsalmia mama aliyejifungua mapacha Bi. Debora Erasto (29) mkazi wa Ullyankulu mkoani Tabora wakati wa ziara yake mkoani humo.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kushoto akimsalmia mama aliyejifungua mapacha Bi. Debora Erasto (29) mkazi wa Ullyankulu mkoani Tabora wakati wa ziara yake mkoani humo.0 on: "WAZIRI UMMY ATEMBELEA HOSPITAL YA RUFAA MKOA TABORA KITETE"