Mkurugenzi wa Tiba, Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima akisisitiza jambo katika mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa sheria ya umiliki wa maabara binafsi za Afya. Kaimu...
Jumatatu, 31 Desemba 2018
Ijumaa, 28 Desemba 2018
WAZIRI UMMY ATEMBELEA UJENZI WA MAJENGO YA WIZARA JIJINI DODOMA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisikiliza maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya ujenzi ya Mzinga Holdings Meja Jenerali Makona (aliyevaa suti nyeusi) inayojenga majengo ya wizara mbalimbali...
Jumamosi, 22 Desemba 2018
WAGONJWA WA SARATANI WAONGEZEKA KUTOKA 2500 HADI 6500
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akimjulia hali mtoto aliyefika na mama yake kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lindi, wakati alipofanya ziara ya kukagua hali ya...
Ijumaa, 21 Desemba 2018

BIMA YA AFYA NDIO MPANGO MZIMA- UMMY MWALIMU.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto mhe.Ummy Mwalimu akifanya uhamasishaji juu ya umuhimu wa kujiunga na Bima ya Afya kwa moja kati ya wagonjwa wa nje waliofika kupata matibabu katika Hospitali ya...

WAZIRI UMMY AWAASA WATOA HUDUMA ZA AFYA KUZINGATIA MAADILI NA WELEDI WA TAALUMA YAO
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiteta jambo na mbunge wa Nachingwea Mhe. Elias Hassan Masala wakati wa kikao na viongozi wa vyama vya vya Ushirika vya Wakulima (AMCOS),...
WANANCHI WAASWA KUPIMA UGONJWA WA HOMA YA INI
Mwanafunzi wa chuo cha Mt. Joseph (kushoto) akipata chanjo ya homa ya ini kutoka kwa mtaalam wa afya toka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (kulia) Mratibu wa chanjo ya Homa ya Ini kutoka Taasisi ya...
Jumanne, 18 Desemba 2018
TFDA YAFIKIA NGAZI YA TATU YA UDHIBITI WA DAWA KIMATAIFA.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu (kulia) akipokea waraka wa utambuzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa-TFDA ya kufikia ngazi ya nne ya udhibiti wa bidhaa za dawa kutoka kwa...
WAZIRI UMMY AGAWA BIMA ZA MATIBABU KWA WATOTO 900 NCHINI
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akisisitiza jambo mbele ya Watoto wanaoishi katika Mazingira magumu na Walezi wao (hawapo kwenye picha) wakati wa kukabidhi Bima za Matibabu kwa Watoto...
WAZIRI UMMY AZINDUA BODI MPYA YA WAFAMASIA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akisisitiza jambo mbele ya Wajumbe na viongozi wa Baraza la Wafamasia (Hawapo kwenye picha) wakati wa uzinduzi wa Baraza jipya la Famasia leo...
Alhamisi, 13 Desemba 2018

WAZIRI UMMY AZUNGUMZA NA WAZIRI WA AFYA WA FALME YA MOROCCO
Picha mbalimbali zikimuonesha Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu-Tanzania leo akikutana na kufanya mazungumzo na waziri wa Afya wa Falme ya Morocco, Prof. Anass Doukkali ambapo wamezungumzia masuala mbalimbali...