Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Alhamisi, 13 Desemba 2018

WAZIRI UMMY AZUNGUMZA NA WAZIRI WA AFYA WA FALME YA MOROCCO
Picha mbalimbali zikimuonesha Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu-Tanzania leo akikutana na kufanya mazungumzo  na waziri wa Afya wa Falme ya Morocco, Prof. Anass Doukkali ambapo wamezungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kwenye sekta ya Afya baina ya nchi hizo.

0 on: "WAZIRI UMMY AZUNGUMZA NA WAZIRI WA AFYA WA FALME YA MOROCCO"