Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Ijumaa, 28 Desemba 2018

WAZIRI UMMY ATEMBELEA UJENZI WA MAJENGO YA WIZARA JIJINI DODOMA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisikiliza maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya ujenzi ya Mzinga Holdings Meja Jenerali Makona (aliyevaa suti nyeusi) inayojenga majengo ya wizara mbalimbali Ihumwa, jijini Dodoma.Picha mbalimbali zikionyesha Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiambatana na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mkurugenzi wa sera na mipango Edward Mbanga wakikagua ujenzi wa majengo ya wizara Jijini Dodoma

0 on: "WAZIRI UMMY ATEMBELEA UJENZI WA MAJENGO YA WIZARA JIJINI DODOMA"