Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Alhamisi, 13 Desemba 2018

WAZIRI UMMY MWALIMU AHUDHURIA MKUTANO UNAOJADILI AFYA YA MAMA NA MTOTO NCHINI INDIAPicha mbalimbali zikimuonesha Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akishiriki mkutano maalum wa mawaziri wa afya kuhusu afya ya mama na mtoto unaofanyika jijini New Delhi nchini India ulioanza tarehe 12-14 Desemba 2018. Mkutano huo unajadili afya ya mama na mtoto "4th Partnership for Maternal, Newborn and Child Health 2018".

0 on: "WAZIRI UMMY MWALIMU AHUDHURIA MKUTANO UNAOJADILI AFYA YA MAMA NA MTOTO NCHINI INDIA"