Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiongea jambo wakati wa uzinduzi wa huduma za dharura na mahututi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga mapema leo. |
Chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) |
Baadhi ya Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Tanga wakifuatilia Hotuba za uzinduzi wa huduma za dharura na mahututi Hospitalini hapo. |
Na Emmanuel Malegi-WAJMW-Tanga
Wakazi wa Jiji la Tanga sasa wataanza kupata huduma za uhakika za dharura pamoja na huduma za wagonjwa mahututi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo).
Huduma hizo zimefunguliwa rasmi leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati ziara yake ya siku mbili mkoani humo huku akiwahakikishia wananchi wa Tanga kutolazimika kupewa rufaa kwa ajili ya kufuata huduma hizo Muhimbili na KCMC.
“Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli inaendelea kuboresha huduma za afya katika Hospitali za mikoa kwa kujenga jengo la huduma za dharura lililogharimu Tsh. Milioni 211.6 na jingo la kuwahudumia wagonjwa mahututi Tsh. Milioni 350 katika kipindi cha mwaka 2018/19”. Amesema Waziri Ummy.
Waziri Ummy ameongeza kuwa kuanzishwa kwa huduma hizo za dharura na mahututi zitatatua changamoto zilizokuwepo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga na kuongeza kuwa katika kipindi cha mwaka 2018/19 Serikali iliipatia Hospitali hiyo ya Mkoa Tsh. Milioni 200 kwa ajili ya ujenzi wa mtambo wa kutengeneza Oksijeni (Oxygen Implantation).
Aidha, Waziri Ummy amesema kuanzishwa kwa huduma za dharura na mahututi zinategemewa kupunguza vifo vitokanavyo na dharura kwa asilimia 50, huku akiongeza kuwa Serikali inatarajia kuhakikisha kuwa dawa zinapatikana kwa asilimia 100 Hospitalini hapo, kutengeneza lifti katika wodi ya Galanos, kujenga kituo cha uchunguzi na vipimo pamoja na kujenga jengo la tiba shufaa kwa wateja walioathirika na matumizi ya madawa ya kulevya.
Pamoja na hayo Waziri Ummy ameishukuru taasisi ya ABBOTT chini ya makamu wake wa Rais Bw. Andy Wilson kwa kusaidia ukarabati wa jengo la huduma za dharura kwa wagonjwa pia Waziri amewashukuru Wafanyabiashara wa Mkoa wa Tanga kwa kuchangia kuboresha huduma za afya katika Hospitali hiyo.
Kwa upande Mwakilishi wa Mganga Mkuu wa Serikali ambaue ni Mkurugenzi huduma za Kinga a Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Leonard Subi amesema uzinduzi huo wa huduma za dharura na chumba cha wagonjwa mahututi ni katika utekelezaji wa mkakati wa Wizara ya Afya kuhakikisha huduma hizo zinapatikana katika Hospitali zote za rufaa nchini.
MWISHO
Thanks for sharing this marvelous post. Very useful!! 카지노사이트위키
JibuFutaThis website is useful. Many thanks for sharing. 온라인카지노사이트
JibuFutaGood click article! Very thankful Cheers! 카지노사이트탑
JibuFutaThanks for sharing your thoughts. I truly appreciate your efforts and I will be waiting for your next post thank you once again. 바카라사이트인포
JibuFutaTerrific work! That is the type of information that are meant to be shared across the net. 바둑이사이트
JibuFutaThe kind and easy-to-understand explanation made it easy to understand difficult topics. Your writing skills are great. 온라인카지노
JibuFutaI’m very pleased to discover this web site. I need to to thank you for ones time just for this fantastic read!! I definitely loved every bit of it and I have you book-marked to see new stuff in your site.
JibuFutamy website : https://www.casinoholic.info 마마카지노
I have joined your feed and look forward to seeking more of your great post.
JibuFuta바카라사이트
it’s awesome and I found this one informative
JibuFuta바카라사이트
I will recommend your website to everyone.
JibuFuta온라인카지노
Thanks for sharing this marvelous post.
JibuFuta카지노
I am really happy to visit your blog.keep updates more valuable information.Thank you
JibuFutareckless driving in virginia
Thanks for sharing beautiful content. I got information from your blog. keep sharing
JibuFutaDivorce Lawyers Chantilly VA