SERIKALI kupitia Wizara ya
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepanga kusitisha shughuli
za utoaji wa huduma zinazofanywa na waganga wa tiba asili na tiba mbadala pindi
muda wa kujisajili utakapokuwa umwekwisha.
Amebainisha hayo Kaimu Mkurugenzi
msaidizi wa tiba asili na tiba mbadala kutoka Wizara ya Afya, maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Poul Mhame mapema leo pindi alipoongea na
waandishi wa habari katika ofisi ndogo za Wizara ya Afya jijini Dar es salaam.
“waganga wa Tiba asili na Tiba
mbadala na vituo vyao watalazimika kusitisha utoaji huduma wanazotoa pindi muda
wa usajili cha itafika mwisho” Alisema Dkt. Mhame
0 on: "SERIKALI YAPANGA KUSITISHA UTOAJI HUDUMA YA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA K..."