SERIKALI
ya Jamhuri wa Muungano Tanzania imepata tuzo kutoka Shirika la Afya Duniani
(WHO) kwa kutambua mchango mkubwa uliofanywa katika jitihada ya kudhibiti
Ugonjwa wa Malaria nchini.
Akikabidhiwa
Tuzo hiyo wakati wa mkutano wa siku mbili ulioanza leo wa kujadili mafanikio na
changamoto katika kudhibiti Malaria,Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Muhammad Bakari Kambi alisema tuzo
hiyo imetolewa kwa Serikali na Watanzania kwa ujumla na Shirika hilo kanda ya Tanzania
0 on: "TANZANIAI YAPOKEA TUZO YA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA KUTOKA SHIRIKA ..."