Baadhi ya Wakurugenzi kutoka Wizara ya Afya wakiongozwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhamad Bakari Kambi (Wa nne kutoka Kushoto) wakimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha uzalishaji Dripu pindi walipofanya ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma katika Hospitali teule ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani - Tumbi
Kushoto ni Mkurugenzi wa Ubora wa Uduma kutoka Wizara ya Afya Dkt. Mohamed Mohamed akikagua Ubora wa chupa ya Maji ya Dripu pindi walipofanya ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma katika Hospitali teule ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani - Tumbi, Wapili kutoka kushoto ni Mganga Mkuu wa Hospitali Dkt. Edward Wayi na watatu ni kiongozi wa Msafara Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Kambi.
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhamad Bakari Kambi (Wapili kushoto) akipitia Mbao ya matangazo katika jengo la mionzi pindi walipofanya ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma katika Hospitali teule ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani - Tumbi, wakwanza kushoto ni Daktari Msaidizi Mionzi Dkt. Patricia Petro, Watatu kushoto ni Mganga Mkuu wa Hospitali Dkt. Edward Wayi na wa mwisho ni Mkurugenzi wa Tiba kutoka Wizara ya Afya Dkt. Dorothy Gwajima.
Baadhi ya Wakurugenzi kutoka Wizara ya Afya wakiongozwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhamad Bakari Kambi (Wapili kutoka kushoto) wakati walipofanya ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma katika Hospitali teule ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani - Tumbi
Baadhi ya Wakurugenzi kutoka Wizara ya Afya wakiongozwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhamad Bakari Kambi wakiendelea na ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma katika Hospitali teule ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani - Tumbi
Na WAMJW-PWANI
Picha mbali mbali za matukio zikionesha Wakurugenzi mbali mbali kutoka
Wizara ya Áfya wakiongozwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Bakari Kambi
walipofanya ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma za afya katika
hospitali teule ya Mkoa wa Pwani -Tumbi leo.
0 on: "ZIARA KATIKA HOSPITALI TEULE YA RUFAA YA MKOA WA PWANI - TUMBI."