Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Alhamisi, 19 Oktoba 2017

DKT. FAUSTINE NDUGULILE AZINDUA MRADI WA UKUNGA SALAMA, BUKUMBI MWANZA.


 Naibu Waziri  wa Afya, Maendeleo  ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile  aliyesimama akiongea na  wanafunzi wa Uuguzi na  Ukunga pamoja  na wadau mbalimbali  wa  sekta ya afya  hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa  mradi wa Ukunga salama  uliofanyika leo  jijini Mwanza katika chuo cha  wauguzi na wakunga Bukumbi.


Naibu Waziri  wa Afya, Maendeleo  ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile  kulia akipata maelekezo kuhusu uuguzi na ukunga kutoka kwa  mfanyakazi wa Chama cha Uuguzi na Ukunga Bw. Stephano Simba kushoto alipotembelea banda lao wakati wa uzinduzi wa  mradi wa Ukunga salama  uliofanyika leo  jijini Mwanza katika chuo cha  wauguzi na wakunga Bukumbi Naibu Waziri  wa Afya, Maendeleo  ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile  wa pili  kulia akikata utepe baadhi ya vitabu kuashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa  Ukunga salama  wakati wa uzinduzi huo  uliofanyika leo  jijini Mwanza katika chuo cha  wauguzi na wakunga Bukumbi  wa tatu kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Bw. Juma Sweda. 
Mkurugenzi wa  mradi wa Ukunga salama Dkt. Julius Masanika  akiongea na  wanafunzi wa Uuguzi na  Ukunga pamoja  na wadau mbalimbali  wa  sekta ya afya  hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa  mradi wa Ukunga salama  uliofanyika leo  jijini Mwanza katika chuo cha  wauguzi na wakunga Bukumbi.
Naibu Waziri  wa Afya, Maendeleo  ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile  akisalimiana na Mwanafunzi wa Chuo cha Uuguzi na Ukunga  Bukumbi  Bi. Rose Julius ambaye anafadhiliwa na  mradi huo  mahitaji yake ikiwamo pamoja na ada wakati wa uzinduzi wa  mradi wa Ukunga salama  uliofanyika leo  jijini Mwanza katika chuo cha  wauguzi na wakunga Bukumbi.


Mkuu wa  Chuo Cha Uuguzi na ukunga SCIMVE  Bw. Yohana Ngwandu  akiongea na  wanafunzi wa Uuguzi na  Ukunga pamoja  na wadau mbalimbali  wa  sekta ya afya  hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa  mradi wa Ukunga salama  uliofanyika leo  jijini Mwanza katika chuo cha  wauguzi na wakunga Bukumbi.
 

 
Wanafunzi wa Uuguzi na  Ukunga pamoja  wakimsikiliza kwa amkini Naibu Waziri  wa Afya, Maendeleo  ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile hayupo pichani wakati wa uzinduzi wa  mradi wa Ukunga salama  uliofanyika leo  jijini Mwanza katika chuo cha  wauguzi na wakunga Bukumbi.


Baadhi ya Wasanii wa Kikundi cha sanaa Cha  wakiigiza mama mjamzito anaelekea kituo cha kutolea huduma ya afya mapema kwa ajili ya kujifungua salama wakati wa uzinduzi wa  mradi wa Ukunga salama  uliofanyika leo  jijini Mwanza katika chuo cha  wauguzi na wakunga Bukumbi.Naibu Waziri  wa Afya, Maendeleo  ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile kushoto akikabidhi matunda kwa baadhi ya wazee alipotembelea kambi ya wazee Bukumbi jijini mwanza.

0 on: "DKT. FAUSTINE NDUGULILE AZINDUA MRADI WA UKUNGA SALAMA, BUKUMBI MWANZA."