Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Jumatano, 25 Oktoba 2017

Mh. UMMY MWALIMU(MB) AGAWA MASHINE ZA KUCHUNGUZA SARATANIWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh.Ummy Mwalimu agawa mashine 100 za tiba mgando (Cryotherapy) na mashine 9 za upasuaji mdogo (LEEP) ambazo zitatumika kwaajili ya matibabu ya awali ya Saratani kwa Wanawake. Makabidhiano hayo yalifanyika katika viunga vya ofisi ndogo za Wizara ya Afya jijini Dar es Salaam. Pia makabidhiano hayo yalihudhuriwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Dkt. Faustine Ndugulile, Baadhi ya Watumishi wa Wizara hiyo na Waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali.

0 on: "Mh. UMMY MWALIMU(MB) AGAWA MASHINE ZA KUCHUNGUZA SARATANI"