Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Jumanne, 17 Oktoba 2017

HOSPITALI YA KANDA YA RUFAA YA MBEYA YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KISASA VYA KUTOLEA HUDUMA YA DHARURA NA AJALI.


 Makamu wa Raisi wa Abbot Fund Andy Wilson akihutubia mbele ya mgeni rasmi  ambae ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (Hayupo kwenye picha) wakati
tukio la kupokea vifaa vya kisasa vya kutolea huduma ya Dharura na ajali.


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akiongea na wafanyakazi wa Hospitali ya Kanda ya Rufaa  Mbeya(Hawapo kwenye picha) katika tukio la kupokea msaada wa vifaa vya kisasa vya kutolea huduma ya Dharura na ajali. Kushoto ni Makamu wa Raisi wa Abbot Fund Andy Wilson na kulia kwa Katibu Mkuu ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya Dharura na ajali Dkt. Prosper Bashaka. Wafanyakazi wa Hospitali ya Kanda ya Rufaa  Mbeya wakimsikiliza Mgeni rasmi ambae ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (Hayupo kwenye picha) katika tukio la kupokea msaada wa vifaa vya kisasa vya kutolea huduma ya Dharura na ajali.

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akipokea msaada wa vifaa vya kisasa vya kutolea huduma ya Dharura na ajali kutoka kwa Makamu wa Raisi wa Abbot Fund Andy Wilson.


Picha ya pamoja ikiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya pamoja na wageni waalikwa katika tukio la kupokea vifaa vya kisasa vya kutolea huduma ya Dharura na ajali.

0 on: "HOSPITALI YA KANDA YA RUFAA YA MBEYA YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KISASA VYA KUTOLEA HUDUMA YA DHARURA NA AJALI."