Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dkt.Faustine Ndugulile akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Mwongozo wa viwango vya Msingi kwa vituo vya kutolea huduma za Afya katika ukumbi wa LAPF leo Jijini Dodoma, Kulia...
Jumatatu, 30 Aprili 2018
Jumamosi, 28 Aprili 2018
MATIBABU YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI NI BURE.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na mmoja ya wanawake waliofika kupima Saratani ya mlango wa Kizazi katika kituo cha Ngamiani Mkoani Tanga, wakati alipozindua Kampeni hiyo Mkoani hapo. Waziri...
Jumatano, 25 Aprili 2018
MALARIA YASHUKA MPAKA ASILIMIA 7. 3 NCHINI
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akipokea maelezo kutoka kwa mwakilishi wa kianda cha kutengeneza vyandarua cha (A to Z) Textile Bw. Slyvester Kazi wakati wa maadhimisho ya siku ya...
MARUFUKU KUUZA DAWA YA MALARIA.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akimjulia hali mtoto aliyefika na mama yake katika Zahanati ya Mwandiga ili kupata huduma za Afya wakati akikagua ubora wa huduma zitolewazo katika Zahanati...
Jumatatu, 23 Aprili 2018
DKT. SUBI AFUNGUA MECHI YA FAINALI YA MASHINDANO YA KOMBE LA MALARIA, KIGOMA.
Mkurugenzi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleoya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi akikagua kikosi cha timu ya Sabasaba wakati wa mchezo wa kumtafuta bingwa wa Mashindano ya kombe la Malaria wa Wilaya ya Kigoma...
Ijumaa, 20 Aprili 2018

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2018/2019
Katika kipindi cha Mwaka 2017/2018, Wizara ilisimamia shughuli za utoaji wa chanjo kwa watoto ili kuhakikisha kuwa malengo yaliyowekwa kitaifa na kimataifa yanafikiwa. Takwimu za Januari hadi Desemba 2017 zinaonyesha kuwa asilimia101.2 ya Watoto waliolengwa nchini...
Alhamisi, 19 Aprili 2018

SUMMARY OF THE BUDGET SPEECH FOR THE FINANCIAL YEAR 2018/19 DELIVERED BY THE MINISTER OF HEALTH, COMMUNITY DEVELOPMENT, GENDER, ELDERLY AND CHILDREN, HONOURABLE UMMY A. MWALIMU (MP)
SUMMARY OF THE BUDGET SPEECH FOR THE FINANCIAL YEAR 2018/19 DELIVERED BY THE MINISTER OF HEALTH, COMMUNITY DEVELOPMENT, GENDER, ELDERLY AND CHILDREN, HONOURABLE UMMY A. MWALIMU (MP) A. INTRODUCTION 1. Honourable Speaker, following the report tabled...