Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Jumatano, 11 Aprili 2018

ALICHOSEMA MAKAMU WA RAIS KATIKA UZINDUZI WA CHANJO YA MLANGO WA KIZAZIKatika ufunguzi huo uliofanyika jana jijini Dar es salaam Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan alisema kuwa chanjo hiyo imewalenga wasichana wote wanaotimiza umri wa miaka 14 ili kuanza kujikinga mapema na ugonjwa huo. 

"Ili kupata kinga kamili,  wasichana watahitajika kupata dozi mbili ambapo dozi ya kwanza itatolewa muda wowote binti anapofikisha umri wa miaka 14 na dozi ya pili itatolewa miezi site baada ya kupata dozi ya kwanza"alisema Mhe. Samiah Suluhu.

0 on: "ALICHOSEMA MAKAMU WA RAIS KATIKA UZINDUZI WA CHANJO YA MLANGO WA KIZAZI"