Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Jumapili, 8 Aprili 2018

MUENDELEZO WA MKUTANO WA UJENZI WA VIWANDA VYA DAWA,VIFAA NA VIFAA TIBA.

Kikao cha cha kuhamasisha uanzishwaji wa viwanda vya dawa na vifaa tiba hapa nchini, kiliendelea katika ofisi ndogo ya Wizara ya Afya jijini Dar es salaam, kikiongozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage huku wakikutana na kamati ya Simiyu Pharma Project, Keko pharmaceutical 1997 Limited, Tanzania Pharmaceutical Industry (TPI) na PST.

0 on: "MUENDELEZO WA MKUTANO WA UJENZI WA VIWANDA VYA DAWA,VIFAA NA VIFAA TIBA."