Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Ijumaa, 9 Machi 2018

DKT. FAUSTINE AKUTANA NA UGENI KUTOKA UBALOZI WA MAREKANI NA WADAU WA AFYA.
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akutana na ugeni kutoka ubalozi wa Marekani na wadau wa Afya mapema leo katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar Es salaam, lengo ni kujadili namna ya kuimarisha Sekta ya Afya nchini.

0 on: "DKT. FAUSTINE AKUTANA NA UGENI KUTOKA UBALOZI WA MAREKANI NA WADAU WA AFYA."