Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akisisitiza jambo mbele ya ugeni kutoka Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) ulioongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirika wa Kiufundi Kanda ya Afrika kutoka
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) Prof. Abdulrazak
Shaukat (Wakwanza kulia)
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.
Faustine Ndugulile akisisitiza jambo mbele ya ugeni kutoka Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) ulioongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirika wa Kiufundi Kanda ya Afrika kutoka
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) Prof. Abdulrazak
Shaukat (Wakwanza kulia)
Kikao cha kujadili misaada ya miradi wanayoipata kutoka IAEA, kikiongozwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.
Faustine Ndugulile na ugeni kutoka Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) ulioongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirika wa Kiufundi Kanda ya Afrika kutoka
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) Prof. Abdulrazak
Shaukat.
Picha ya pamoja ikiongozwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile baada ya kikao na Wadau kutoka Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), kilichofanyika katika ofisi za Wizara ya Afya leo jijini Dodoma.
Na WAMJW - DOM
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile leo Machi 13, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirika wa Kiufundi Kanda ya Afrika kutoka Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) Prof. Abdulrazak Shaukat juu ya misaada ya miradi wanayoipata kutoka IAEA, kikao hicho kimefanyika katika Ofisi ya Wizara ya Afya Jijini Dodoma.
0 on: "DKT. NDUGULILE AKUTANA NA UGENI KUTOKA SHIRIKA LA NISHATI YA ATOMIKI"