Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Jumapili, 31 Desemba 2017

SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA DKT. NDUGULILE ZIKISISITIZA JUU YA WAJIBU WA WATOA HUDUMA ZA AFYA NA MABARAZA YA KITAALUMA PAMOJA NA HAKI ZA WANANCHI KUPATA HUDUMA BORA ZA AFYA.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA MHE. NAIBU WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO DKT. FAUSTINE NDUGULILE ZIKISISITIZA...

TANGAZO KWA UMMA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto anawatangazia wanafunzi wote walioko vyuoni wanaosoma masomo ya...

Jumamosi, 23 Desemba 2017

SERIKALI YATARAJIA KUANZISHA BIMA YA AFYA KWA WATU WOTE

Naibu Waziri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akisisitiza jambo mbele ya baadhi ya Watumishi(hawapo kwenye picha) wa Taasisi ya Kiuma inayomiliki chuo cha Uuguzi, Kituo cha Afya na...

Jumatano, 20 Desemba 2017

SHILINGI BILIONI 3.1 ZIMETUMIKA KUJENGA MAJENGO YA CHUO CHA UUGUZI NA UKUNGA MIREMBE

Waziri Ummy Mwalimu akisoma maandishi ya jiwe la ufunguzi wa jengo hilo,kulia ni mwakilishi toka Global Fund Martha Setembo. Mkandarasi aliyejenga majengo ya Chuo cha Uuguzi Mirembe Nishit Jethwa kutoka kampuni ya V.J. Mistry Co LTD...

WAUGUZI NI CHACHU YA HUDUMA BORA NCHINI

Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi na Ukunga kutoka Wizara ya Afya Gustav Moyo akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya maadili kwa wauguzi wakuu wa Mikoa na hospitali za Kitaifa na za Rufaa za kanda unaoendelea chuo...

Jumamosi, 16 Desemba 2017

MPANGO WA MALIPO KWA UFANISIWALETA MABADILIKO SEKTA YA AFYA RUFIJI.

Waziri wa Afy,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu   akisisitiza jambo mbele ya wakazi wa Kijiji Nyamwage cha wakati alipotembelea Kituo cha Afya cha Ikwiriri na Zahanati ya Nyamwage katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji...

DKT.NDUGULILE AWATAKA TICD KUUNDA BODI MARA MOJA.

Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile aliyevaa shati la vyumbavyumba akikagua na kutoa maelekezo juu ya upatikanaji wa dawa katika baadhi ya vituo vya afya katika Wilaya ya Meru wakati...

Alhamisi, 14 Desemba 2017

HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA HOSPITALI YA RUFAA YA TAALUMA NA TIBA (MAMC) ILIYOKO MLOGANZILA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA HOSPITALI YA RUFAA YA TAALUMA NA TIBA (MAMC) ILIYOKO MLOGANZILA Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya...

Page 1 of 102123»