Like us on Facebook

Inaendeshwa na Blogger.

Tafuta katika Blogu Hii

Kumbukumbu la Blogu

Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Flickr Images

Jumanne, 5 Desemba 2017

WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEWA NA BALOZI WA JAMHURI YA UJERUMANI


Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,jinsia,Wazee na watoto Ummy Mwalimu (kushoto) akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter kwenye ofisi yake ndogo Jijini Dar es Salaam.Mazungumzo hayo yamelenga kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya AfyaWaziri  Ummy Mwalimu (kushoto) akimuelezea jambo Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter kwenye ofisi yake ndogo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,jinsia,Wazee na watoto Ummy Mwalimu (kushoto) akiagana na  Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter kwenye ofisi yake ndogo Jijini Dar es Salaam mapema leo .0 on: "WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEWA NA BALOZI WA JAMHURI YA UJERUMANI"