Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya
akiongea na baadhi wadau wa maendeleo,wadau wa sekta ya afya wa Serikali na
Binafisi na Wakurugenzi wa vitengo mbalimbali kutoka Wizara ya Afya hawapo
pichani wakatri wa Mkutano wa robo mwaka wa kitaalam katika sekta ya afya uliofanyika
leo jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya akiwakabidhi vyeti watumishi watatu wa Sekretarieti ya pamoja kwa kutambua michango yao kwa kipindi chote cha utumishi wao wakati wa Mkutano wa robo mwaka wa kitaalam katika sekta ya afya uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya
katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi wadau wa maendeleo,wadau wa
sekta ya afya wa Serikali na Binafisi na Wakurugenzi wa vitengo mbalimbali
kutoka Wizara ya Afya hawapo pichani wakatri wa Mkutano wa robo mwaka wa
kitaalam katika sekta ya afya uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
Baadhi wadau wa maendeleo,wadau wa sekta ya afya wa
Serikali na Binafsi na Wakurugenzi wa vitengo mbalimbali kutoka Wizara ya Afya
wakifuatilia kwa makini maelekezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt.
Mpoki Ulisubisya hayupo pichani wakati wa Mkutano wa robo mwaka wa kitaalam
katika sekta ya afya uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
NA WAMJW
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya ameongoza
mkutano wa robo mwaka wa kitaalam katika sekta ya Afya unaowaleta pamoja
Serikali ,wadau wa maendeleo,Sekta binafsi na Asasi za kiraia.
Leongo la mkutano huo ni kuangalia utekelezaji wa
maazimio ya pamoja na kuandaa mipango mipya ya utekelezaji wa mpango mkakati wa
sekta ya afya wanne 2015-2020 kupitia vikundi kazi 11 vya kilaam.
Pia watumishi watatu wa Sekretarieti ya pamoja wametunukiwa
vyeti kwa kutambua michango yao kwa kipindi chote cha utumishi wao ambao ni
Dkt. Oberlin Kisanga ,Dkt. Anna Nswila na Dkt. Didace Mutagwaba.
0
on: "Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya ameongoza mkutano wa robo mwaka wa kitaalam katika sekta ya Afya. "
0 on: "Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya ameongoza mkutano wa robo mwaka wa kitaalam katika sekta ya Afya. "