Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara
ya Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi akiongea
na wadau mbalimbali wa sekta ya afya hawapo pichani kuhusu kinga tiba za
magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele wakati wa kufunga mkutano wa mwaka wa
kupitia,kujadili na kupanga utekelezaji wa mpango wa Taifa wa kudhibiti
magonjwa hay oleo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara
ya Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi kulia
akifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zinatolewa na wadau mbalimbali wa sekta
ya afya hawapo pichani wakati wa kufunga mkutano wa mwaka wa kupitia,kujadili
na kupanga utekelezaji wa mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa
hayapewi kipaumbele leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mratibu wa Taifa wa
mpango wa kutokomeza magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele nchini Dkt. Upendo
Mwingira.
Mratibu wa Taifa wa mpango wa
kutokomeza magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele nchini Dkt. Upendo Mwingira
akiongea na wadau mbalimbali wa sekta ya afya hawapo pichani kuhusu kinga tiba
za magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele wakati wa kufunga mkutano wa mwaka
wa kupitia,kujadili na kupanga utekelezaji wa mpango wa Taifa wa kudhibiti
magonjwa hay oleo jijini Dar es salaam.
Wadau mbalimbali wa sekta ya afya kwa
upande wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele wakifuatilia kwa makini
hotuba ya Mkurugenzi wa Huduma za Kinga
Wizara ya Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi
hayupo pichani wakati wa kufunga mkutano wa mwaka wa kupitia,kujadili na
kupanga utekelezaji wa mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa hayo leo jijini Dar
es salaam.
Na WAMJW-DSM
Mkutano wa mwaka wa kupitia,kujadili
na kupanga utekelezaji wa mpango wa taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa
hayapewi kipaumbele yamefikia tamati leo jijini Dar es salaam ambapo wadau
mbalimbali wa sekta ya afya wanaoshughulika na magonjwa hayo wamekutana na
kutoka na njia mbalimbali za kupambana na magonjwa hayo ambapo tamati yake
itafikia Juni 8 mwaka huu kwa kutembelea Kambi ya kufanyia upasuaji wa matende
na mabusha iliyopo Kisarawe Mkoani Pwani.
0 on: "MKUTANO WA MWAKA WA KUPITIA,KUJADILI NA KUPANGA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE YAFIKIA TAMATI LEO."