Wadau wa sikoseli wakiongozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kunyoosha viungo baada
yakumaliza matembezi ya Km 3 ambayo yalikomea katika viwanja vya
Mwembeyanga.
Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la vyama vya Sikoseli Tanzania Dkt. Deo Soka
akimweleza jambo Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Mhe. Ummy Mwalimu baada ya matembezi ya siku ya sikoseli katika
viwanja vya Mwembeyanga.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy
Mwalimu (wakatikati) akiwa katika matembezi ya siku ya Sikoseli, kushoto
kwake ni mwakilishi wa WHO na kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke
Mhe. Felix Lyaviva
Wadau wa sikoseli wakiongozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kunyoosha viungo baada yakumaliza matembezi ya Km 3 ambayo yalikomea katika viwanja vya Mwembeyanga.
Mama mzazi wa Feisal, mtoto mwenye Sikoseli akiongea na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (hayupo kwenye picha).
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy
Mwalimu akisisitiza jambo mbele ya Wananchi waliojitokeza katika viwanja
vya Mwembeyanga na Wadau wa Sikoseli wakati wa matembezi ya siku ya
Sikoseli ambayo kauli mbiu ni Kuwa mjanja, Ijue Sikoseli.
0 on: "PICHA ZA MATUKIO KATIKA MATEMBEZI YA SIKOSELI KATIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA."