Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt.Mpoki Ulisubisya (kulia) akibadilishana mawazo na Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Muhammad Bakari kambi wakati wa Mkutano wa 18 wa mwaka wa mapitio ya utekelezaji na utendaji katika sekta ya afya nchini.
Watumishi wa Idara ya Sera na Mipango wakifuatilia ufunguzi wa Mkutano wa 18 wa mwaka wa mapitio ya utekelezaji na utendaji katika sekta ya afya nchini.
Baadhi ya wakurugenzi na wakuu wa vitengo toka Idara za Wizara ya Afya na Tamisemi wakisikiliza hotuba ya ufunguzi ya mgeni rasmi(hayupo puchani), wakati wa Mkutano wa 18 wa mwaka wa mapitio ya utekelezaji na utendaji katika sekta ya afya nchini.
Na WAMJWW. Dsm
Watumishi na wadau wa sekta ya afya nchini wamekumbushwa kuboresha utendaji wao ili nchi kuwa ya uchumi ifakapo mwaka 2025
Hayo
yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee
na Watoto Dkt.Mpoki Ulisubisya wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 18 wa
mwaka wa mapitio ya utendaji wa sekta ya afya.
"wakati Serikali ya awamu ya tano ikisisitiza kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi ifikapo 2025 ni
lazima kila mmoja wetu akubali kwamba Afya inabaki kuwa muhimu, katika
kufanikisha hili ni vyema kuweka mfumo wa utoaji huduma wenye Maendeleo
kuendana na lengo la serikali kutilia mkazo wa uboreshaji wa Afya na
kinga iliyosawia ili kila mmoja wetu aweze kushiriki katika shughuli za
kijamii na kiuchumi" Alisema Dkt. Mpoki Ulisubisya
Mkutano huu unawashirikisha watalaam Mbali Mbali,wadau wa Maendeleo, Sekta binafsi,Taasisi za utafiti na vyama vya kijamii.
kauli mbiu ya mkutano huo ni "kwa pamoja tunaweza,vifo vya Akina mama wajawazito havikubaliki"
If you value a clean and responsive digital layout, exploring bc game is definitely worth your time. The platform runs efficiently and provides a very comfortable atmosphere for everyone.
JibuFutaWould love to always get updated great site ! . freecoloringsheets.net
JibuFutaGreat information and a very readable article. I appreciate the effort involved in explaining the subject in simple terms. The different sections work well together and provide a useful overview for anyone researching the topic. gsi technology
JibuFutaI understand the value of custom printing services. Printing services
JibuFutaNowhere on the Internet is there this much quality and clear information on this subject. How do I know? I know because I’ve searched this topic at length. Thank you. Page authority backlinks
JibuFuta